mandojo
Member
- Jul 2, 2016
- 41
- 5
Wadau vipi,
Mimi nina division 3 ya 24, niliapply diploma in primary education, matokeo yake wakaniandikia "add qualifications" wakati nilishaziadd mwanzo!!!.
Naomba anayeelewa hili anisaidie tafadhali. Kingine pia kama sijachaguliwa naruhusiwa kuomba tena?? Na je nitalipia kama mwanzo?
Msaada unahitajika, please kama hujui chochote kaa kimya coz watu wengine wagum kuelewa.