MR CHAGGA Member Joined Sep 27, 2016 Posts 64 Reaction score 77 Sep 27, 2016 #81 ujinga ni wakati wa kwenda sasa washakula ndo umestuka pole sana ndugu
sab JF-Expert Member Joined Jan 25, 2013 Posts 5,746 Reaction score 4,353 Sep 27, 2016 Thread starter #82 cristela said: huna ela wewe sifa ya mwanaume kuhonga Click to expand... Ujinga huo, mwanaume anaye jielewa hatumi pesa kumnasa mwanamke, bali mdomo tu, Kutumia pesa ni udhaifu
cristela said: huna ela wewe sifa ya mwanaume kuhonga Click to expand... Ujinga huo, mwanaume anaye jielewa hatumi pesa kumnasa mwanamke, bali mdomo tu, Kutumia pesa ni udhaifu
sab JF-Expert Member Joined Jan 25, 2013 Posts 5,746 Reaction score 4,353 Sep 27, 2016 Thread starter #83 mwanazuoni mgeni said: Kuhonga sio vibaya ...ila honga kiakili...ukishindwa....kabisa...chukua mademu wabovu (local girls) hawa ukiwapa vocha ushamaliza Click to expand... Hhahahaha
mwanazuoni mgeni said: Kuhonga sio vibaya ...ila honga kiakili...ukishindwa....kabisa...chukua mademu wabovu (local girls) hawa ukiwapa vocha ushamaliza Click to expand... Hhahahaha
Mustaphagentleman JF-Expert Member Joined Jun 22, 2016 Posts 3,953 Reaction score 3,032 Sep 27, 2016 #84 Ukihonga Honga kwa Akil *Sipend Ujinga *
L Luharamula JF-Expert Member Joined Sep 11, 2016 Posts 495 Reaction score 333 Sep 27, 2016 #85 Bora umejitambua, angekuwa shamba la bibi hadi kifo.
gibe mukulu Member Joined Aug 17, 2016 Posts 96 Reaction score 48 Sep 27, 2016 #86 sab said: Hakuna tofauti hapo, na zaidi nikwamba na wao siku hizi wana mbinu za kila aina unaweza fikiri unatoa pesa tu kama unavyo sema kumbe unahonga bila kujijua, hii kitu ndio siitaki tena Click to expand... Tudokeze hizo mbinu Mkuu uenda tupo wengi humu
sab said: Hakuna tofauti hapo, na zaidi nikwamba na wao siku hizi wana mbinu za kila aina unaweza fikiri unatoa pesa tu kama unavyo sema kumbe unahonga bila kujijua, hii kitu ndio siitaki tena Click to expand... Tudokeze hizo mbinu Mkuu uenda tupo wengi humu
Wa mbogwe Member Joined Jul 4, 2016 Posts 95 Reaction score 221 Sep 28, 2016 #87 Kama umeacha kuhonga Mkuu unakaribisha mgalala ndani
jangala JF-Expert Member Joined Feb 17, 2014 Posts 1,583 Reaction score 2,383 Oct 5, 2016 #88 Kuhonga ni Sunna..