Hahaaaaa hapa kazi tusalaam wana jf,
Mwenzenu sasa nimeamua kufunga mlango na dirisha la tabia ya kuhonga honga kwa namna yoyote kwani nimegundua hii tabia inarudisha nyumba maendeleo yangu sana,
yaani mwanamke ambaye hayupo kwenye familia yangu basi hata aje na style gani yakuniomba pesa, sitoi hata cent, maana kuna baadhi ya wanatumia mwanya huu kunimaliza sana,
Wala sio utajirikutoa ni moyo!
nipo kaka, majukumu wajua tena....Kaka upo? Sijakuona simu nyingi hapa jukwaani
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]yaani nimepigwa sana , sasa sitaki tena labda niwapige wao , na hii itakuwa zamu yao sasa
unahonga kwa akili.....!Pesa inahitaji discipline, hivyo wewe honga honga tu, alafu mwisho hao hao ndio watakucheka wakati uko majalala kama hujui
Sab leo umenivunja mbavu zanguuuuu [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] daaah! Umetisha mkuu. Nimefurahi saana na ni wazo zuri mno kwakua umejitambua.... Maisha haya ni ya kuwahi kabla hujawahiwa mkuu, na ukishawahi kula kona uishi kama digidigi, leo kichaka hiki kesho kile, potelea mbali... Hamna sifa njema ya kuhonga, watakusema ni bahili ila ujue hayo ni maneno ya kuumia tu,.. K ziko kibao hata ukiamua kukopa siku zote za maisha yako, kila siku utakopa jipya mpaka unakufa, na hao waliokupiga Mungu anawaona [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]yaani nimepigwa sana , sasa sitaki tena labda niwapige wao , na hii itakuwa zamu yao sasa
Hakuna tofauti hapo, na zaidi nikwamba na wao siku hizi wana mbinu za kila aina unaweza fikiri unatoa pesa tu kama unavyo sema kumbe unahonga bila kujijua, hii kitu ndio siitaki tena
Ilikua tabia yangu ya chuo hii ni mwendo wa kula mademu wabovu wabovu tu afu wanakuwaga watamu sana.mkuu tafuta dem mbovu ndo solution hapa hawanaga shida
mie sihongi na papuchi napata bureeeeeeeeeeeeeeeeeee unajua kwanini wanawake wananipenda wenyewe
yaani mkuu nimekutana na wanawake wanajua kutongoza hatari yaani wanavituko hatari ndo maana wananipa papuchi na hela hawaniombi sijui kwakuwa wanakazi zaoutakuwa unawapata wanaojipendekeza kwako mkuu, lakini siyo wale unaowataka wewe.