Nimeamua, sihongi tena

Umepepata mawazo mazuri Mungu awe nawe tamaa za papuchi za nje zinawaponza wengi
 

Wewe toa pesa usihonge. Kuna tofauti kubwa sana kati ya kutoa pesa na kuhonga
 
Wewe toa pesa usihonge. Kuna tofauti kubwa sana kati ya kutoa pesa na kuhonga
Hakuna tofauti hapo, na zaidi nikwamba na wao siku hizi wana mbinu za kila aina unaweza fikiri unatoa pesa tu kama unavyo sema kumbe unahonga bila kujijua, hii kitu ndio siitaki tena
 
kutoa ni moyo!
Kanisani au msikitini ndio kutoa ni moyo, tena unatoa kiwango ambacho unauwezo nacho, hata 100 wanaichukua, lakini wadada bwana wanamakua mbaya dume asipo kuwa makini anaweza kosa hela ya kununulia mihogo kesho na chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…