Ha ha ha ha!Ukishashabikia uelekee Jangwani kwenye mbu.
Usiridi Msimbazi kwa watoto wa Mujini.
Pole kwa maamuzi malaini
Simba hawezi enda yanga hata kwa kuazimwa, sembuse mkopo?Ha ha ha ha!
Umenifurahisha sana mkuu, hii ni just kwa game ya kesho, mimi na Simba damu damu, kama ni usajili unaweza kuwa wa mkopo tu.
Ukishashabikia uelekee Jangwani kwenye mbu.
Usiridi Msimbazi kwa watoto wa Mujini.
Pole kwa maamuzi malaini
Jezi za Kiyovu tutawagawieni bure! Mnahitaji ngapi?Aisee Sobhuza usimsikilize huyu jamaa..wakija Kiyovu tuko pamoja sana...
aaah mzeee unakosa uzalendo kwenye vitu vidogo kama hivyo kweli!Ukishashabikia uelekee Jangwani kwenye mbu.
Usiridi Msimbazi kwa watoto wa Mujini.
Pole kwa maamuzi malaini
Aisee Sobhuza usimsikilize huyu jamaa..wakija Kiyovu tuko pamoja sana...
Mkuu bora tu ungewaunga mkono bila kuvaa jezi yao, mimi ningepata nafasi ya kwenda uwanjani ningewaunga mkono kwa kukaa kimya endapo wageni watapata goli.Unaju washabiki hatufanani, since hakuna vigezo na masharti... Ni just maamuzi ya mtu, na kila mmoja atayaheshimu.
Ni ngumu sana kwa washabiki wa Simba kuamini kinachojiri, na watakejeli sana...
Ila ndo nshaamua ivo!
Kiyovu wakija kufa hapa karibu sana mkuu.
Kesho ndio game ya Caf Champions League kati ya watani na Zamalek hapo uwanja mkubwa wa Taifa.
Nimeamua kwenda kinyume na mazoea ya kawaida, kwamba mtani akicheza hata na pipa, sisii tushabikie pipa. Nafuata mkondo mwingine kabisa...
Sisi wapenzi na wanachama wa Simba hatujawahi kukubaliana katika kikao chochote rasmi kuwa popote itakapocheza Yanga, basi sisi tushabikie wapinzani wao hivyo kwa kuongozwa na utashi binafsi, nimeamua kuiunga mkono Yanga hiyo kesho.
Tayari nimeshanunua jezi ya rangi ya manjano pamoja na skafu yake, na tiketi ya jukwaa la buluu ninayo.
Mnaounga mkono maamuzi yangu mnakaribishwa.
View attachment 47573Yanga African Sports ClubView attachment 47572
Uzalendo kama wa TP Mazembe siyo?aaah mzeee unakosa uzalendo kwenye vitu vidogo kama hivyo kweli!
Pamoja kama TP Mazembe siyo?Aisee Sobhuza usimsikilize huyu jamaa..wakija Kiyovu tuko pamoja sana...
Utaifa mbele.
Hongera kwa kufanya MAAMUZI MAGUMU
[/Q
Jamaa ana usongo na zamalek huku amelala,inamaanisha bila mazoezi anaweza kumchapa zamalek,kesho tena tusubiri itakuwaje
ila jamaa si vita kwa sana kule,nadhani hata mazoezi hawafanyi kwani viwanja vyao vinatumika kwa mazoezi ya kijeshi