Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,741
- 3,316
Ni kweli lakini anachosema yuko sawa maana najua haya yote anayonambia sio kwamba anajitungiaHuyo dada si mtu mwema kwako mkatie. Atakuchonganisha na kila mtu. Anatabiawza kimbea kimbea.
Jiulize anakuambia ili iweje?Ni kweli lakini anachosema yuko sawa maana najua haya yote anayonambia sio kwamba anajitungia
mfano huyo dada alofariki asingemjua kama hakuambiwa maana yeye ana miezi miwili sasa na huyo dada kafariki mda tu
Bro sisi hatukusemi vibaya, je na huyo msichana anaekupa hizo taarifa pia umemchunguza? Kumbuka sisi ni ndugu alafu unatakiwa uwe na tabia za kiume..
Wewe utaletewaje taarifa na mwanamke alafu unyamaze kimya .. Akati anaekusema ni kaka na shem wako?
Ni ukweli unachosema nando maana nimeamua hata yeye kukata nae mazoea hata salamu sitakiJiulize anakuambia ili iweje?
Angekua ana kumpenda angesisiza upime HIV na kama uko salama angekushauri uepukane na ngono zenye
Ni mengi tunayasikia lakini hatusemi. Kuchinganisha ndugu wa tumbo moja ni laana.
Kwa mujibu wa maelezo yako.. Nimeamini ndugu wakigombana chukua jembe ukalimeMe najua wazi hata kabla ya huyu dada hajaja bro wangu huwa ananichukia tu bila sababu na akamuambukiza na mke wake nasasa kila mgeni anaekuja wanamsimulia tu mabaya yangu ila kwa kuwa huyu dada tumekua nae close ndo maana nayapata vizuri
Ni ukweli unachosema nando maana nimeamua hata yeye kukata nae mazoea hata salamu sitaki
Lakini pia najiuliza kwanini wananichafua hivi na sina chochote nnachowapunguzia kwenye maisha yao?
Amua moja katika haya
1. Mkalishe kaka yako muwe na man to man talk mueleze yaliyo moyoni mwako. Jiandane kwa reaction yake. Hakikisha humvunjii heshima.
Kama una uwezo ondoka hapo, ndugu kukaliana karibu si vizuri.
Mmezaliwa wangapi katika familia yenu?Me najua wazi hata kabla ya huyu dada hajaja bro wangu huwa ananichukia tu bila sababu na akamuambukiza na mke wake nasasa kila mgeni anaekuja wanamsimulia tu mabaya yangu ila kwa kuwa huyu dada tumekua nae close ndo maana nayapata vizuri
Me sitegemei chochote kwao mkuu,sana wao ndo huwa wakipata shida nawasaidiaKwa kifupi wameshakuchoka wanashindwa kukwambia wazi wazi tu wanatumia njia za panya kukufikishia ujumbe ........JIONGEZE MKUU.
Hapana sio kweli kabisa kaka,mimi naishi vizuri sana na kila mtu hapa mtaani na kwa jinsi nlivo kwa mtu mjinga kama wao wanahisi labda mie ni mzinzi sana maana hakuna msichana ambae haoneshi mapenzi namimi hapa mtaani,ila cjawai date wala kuingiza msichana yeyote wa hapa kitaaMkuu mbona hili lakudate namtuhumiwa wangoma limekuchoma sana? Au nikweli marehem alikuwa mtu wako? Haina haja yakuwanunia ila njia nyepesi yakuweka mambo Sawa niwewe kufunga safari mpaka angaza...., nasisi humu utuleteee mrejesho wamajibu yaangaza
Tuko sitaMmezaliwa wangapi katika familia yenu?
Halafu hii tabia mbaya ya ndugu kumchukia ndugu sijui inakuaje ?
Kwanini mkuuKwa mujibu wa maelezo yako.. Nimeamini ndugu wakigombana chukua jembe ukalime
Basi mkuu nikwambie tu, hapo me sijaona sababu yawewe kuwachunia. Ninachokiona hapo nikuwa broo wako ameshaona dalili sio nzuriii nahuyo ndugu yako wambali nayeye ataki hicho kitendo kikatokea ila anashindwa kukwambia so anachokifanya nikumkatisha tamaa yangono huyu bint ili mwisho wasiku msije mkabokoana naundugu wenu japokuwa niwambali ukageuka undugu ushenzi wakulana kama kukuHapana sio kweli kabisa kaka,mimi naishi vizuri sana na kila mtu hapa mtaani na kwa jinsi nlivo kwa mtu mjinga kama wao wanahisi labda mie ni mzinzi sana maana hakuna msichana ambae haoneshi mapenzi namimi hapa mtaani,ila cjawai date wala kuingiza msichana yeyote wa hapa kitaa
Bro wako mzembe sana .Tuko sita
mie wa mwisho yye ndo namfata