Nimeamua kuwa 'Boya' ili kunusuru pendo langu

Ili mambo yaende kuna kipindi lazima umuonyeshe kuwa wewe ni mwanaume,na kuwa mwanaume ndani ya nyumba inakufanya ajione kuwa wewe na yeye ni watu wawili tofauti na sio kama anaishi na mwanamke mwenzake...
kabisa
 
MKUU..

Huyu dogo anapenda mambo ya kuvaa sare sare..

Akikwambia uvae nguo flan ili mtoke basi tambua naye atavaa nguo ya ufanane ili mkitoka muwe km kumbi kumbi
kama ni hivyo upo sawa kumkatilia mkuu ila angalia vile moyo wako unavyosema
 
Uwe boya ili iweje? Kuwa mwanaume mwenye msimamo thabiti, usikubali kupelekeshwa...afu ununue na mashati mengine ya kutokea😂😂😂😂😂😂
 
Mashati yapo mkuu

Target yake n kuvaa sare sare
 
Habarini za maisha ndugu zangu..

Leo Shinyanga jua ni kali Sana. Lakini tunakomaa hivyo hivyo na haya maisha.

Sitaki kumchosha mtu, issue ipo hivi..

Kuna wadada ni vipengere aise..

Yeye siku zote hataki amani. Mkitulia tu kidogo utashangaa kashaumua jambo. Yani ili mradi tu amani ikosekane..

Juzi aliniita kwenye birthday party ya rafiki ake. Wasukuma na birthday wapi na wapi jamani. Nikamplz km sitoenda. Ajab paka Leo nimenuniwa..

Leo kanitaka nimsindikize hospital. Akaniambia nguo ya kuvaa. Nikamjb lile shati ni chafu. Et lifue muda ukifika litakuwa limekauka. Yani m niache mambo yangu nikakalie kufua Shati. Nikamjb nko mbali. Nimekaushiwa hadi sasa..

Kuna siku alikuja home bila kunijulisha. Akanpgia ila skuwa hewani. Ajabu akaniweka funguo chn ya mlango na kusema hatokuja tena. ( kumbuka kila mmoja alikuwa na funguo yke )

Mambo n mengi..

Itabidi niwe ' kolo ' ili kunusuru pendo. Au mnasemaje wadau

Nimejaribu kusoma kwa unmakini ulichokiandika ila kwa uzoefu nilionao ktk mahusiano

ukiona mwanamke ameanza kukupanda kichwani ameanza kukukosoa,amekuwa mshari tambua ya kwamba upo stage one ya kuelekea kuachwa

Na unavyozidi kujifanya boya au lofa ndio unazidi kumpa nafasi ya kukuacha kwani utafanyiwa visa mpka ukome
 
Habarini za maisha ndugu zangu..

Leo Shinyanga jua ni kali Sana. Lakini tunakomaa hivyo hivyo na haya maisha.

Sitaki kumchosha mtu, issue ipo hivi..

Kuna wadada ni vipengere aise..

Yeye siku zote hataki amani. Mkitulia tu kidogo utashangaa kashaumua jambo. Yani ili mradi tu amani ikosekane..

Juzi aliniita kwenye birthday party ya rafiki ake. Wasukuma na birthday wapi na wapi jamani. Nikamplz km sitoenda. Ajab paka Leo nimenuniwa..

Leo kanitaka nimsindikize hospital. Akaniambia nguo ya kuvaa. Nikamjb lile shati ni chafu. Et lifue muda ukifika litakuwa limekauka. Yani m niache mambo yangu nikakalie kufua Shati. Nikamjb nko mbali. Nimekaushiwa hadi sasa..

Kuna siku alikuja home bila kunijulisha. Akanpgia ila skuwa hewani. Ajabu akaniweka funguo chn ya mlango na kusema hatokuja tena. ( kumbuka kila mmoja alikuwa na funguo yke )

Mambo n mengi..

Itabidi niwe ' kolo ' ili kunusuru pendo. Au mnasemaje wadau
"Kuwa kam Mwanaume kamil.... Kuwa na Msimamo.... UsiYumbishwe..... Simama Imara kama Uume Wako......"

NB.
"Ukiona mpenz wako anakukosoa sana kwa each and everything.... Tambua anajarbu kkfanansha na alie nae side B' ampendaYe sana.... Kwakuwa wew hawez kukuacha kwa sababu zake bnafs.... Ndo anajarb kkbdlsha uwe kama Wa Side B'..... Trust me"[emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578]
 
Habarini za maisha ndugu zangu..

Leo Shinyanga jua ni kali Sana. Lakini tunakomaa hivyo hivyo na haya maisha.

Sitaki kumchosha mtu, issue ipo hivi..

Kuna wadada ni vipengere aise..

Yeye siku zote hataki amani. Mkitulia tu kidogo utashangaa kashaumua jambo. Yani ili mradi tu amani ikosekane..

Juzi aliniita kwenye birthday party ya rafiki ake. Wasukuma na birthday wapi na wapi jamani. Nikamplz km sitoenda. Ajab paka Leo nimenuniwa..

Leo kanitaka nimsindikize hospital. Akaniambia nguo ya kuvaa. Nikamjb lile shati ni chafu. Et lifue muda ukifika litakuwa limekauka. Yani m niache mambo yangu nikakalie kufua Shati. Nikamjb nko mbali. Nimekaushiwa hadi sasa..

Kuna siku alikuja home bila kunijulisha. Akanpgia ila skuwa hewani. Ajabu akaniweka funguo chn ya mlango na kusema hatokuja tena. ( kumbuka kila mmoja alikuwa na funguo yke )

Mambo n mengi..

Itabidi niwe ' kolo ' ili kunusuru pendo. Au mnasemaje wadau
Pendo hilo limo ndani ya ndoa au ni la chuma ulete? Tuanzie hapo.
 
We umeshalogwa ila unajiona una busara ya kunusuru pendo kumbe ubwege
 
Umishasema kabila...kwaio hapo ni kubadili mfumo kutoka romantic💏 kuelekea mfumo elekezi👃👊
😎
 
Msukuma bwana! Sasa au kwa kuwa huyo demu' ni mweupe!?
 
Msukuma mbona unatuangusha vibaya wanaume wenzio kwaani umelogwa au ulimpata kwa bahati ya mtende??? Piga chini mkuu
 
Back
Top Bottom