kua kama mwanaume na wewe kishakuona una uboya hata kabla hujaamua kua boya ndio mana anajinunisha hovyo.
Huoni kama tayari ni boya? Au unataka kuwa boya square ?
Leo nmegundua Kuna mijitu inasomaga heading tu,ilivyoona boya basi ikaanza mikomment yao ya kpuuz,UKWEL N KWAMBA HUYO DEMU ANAKUPENDA MNO JITAHID MARA MOJA MOJA KUMFANYIA ANAYOYAPENDA
Kifupi wewe ni boya huna haja ya kujifanya boya zaidi endelea ivo ivo
unaingia mapenzini kigangster eti?
Wewe umeamua kolo boya lakini ningekuwa mimi hapo ningesha soma dalili kabisa za kuchokwa na kuna sehemu ana pata amani. Mi ningetafuta kambi mapema tu kila mtu achukue ustaarabu wake kuendeshwa kama gari bovu hapana aisee
Na wewe punguza ushamba..shati moja Tu la kutokea? Ongeza mashati muache kugombana Kwa sababu za kijinga
sasa hapo kosa lipo wapi wapo tafauti haoo lkn mkuu mpk unaambiwa uvae shati flan inamaana hata mwrnyewe hujijali cjui kama unaweza jali hisia za mwenzako
Mbona hakuna tatizo hapo? Mwanaume unashindwa kutatua kitu kidogo hivyo mpaka unaanzia Mada kulia lia? Huyo demu anakumwaga muda si mrefu, ulie vizuri, ...
Ili mambo yaende kuna kipindi lazima umuonyeshe kuwa wewe ni mwanaume,na kuwa mwanaume ndani ya nyumba inakufanya ajione kuwa wewe na yeye ni watu wawili tofauti na sio kama anaishi na mwanamke mwenzake...kua kama mwanaume na wewe kishakuona una uboya hata kabla hujaamua kua boya ndio mana anajinunisha hovyo.
dogo nae wa Mwanza nini?😂😂😂MKUU..
Huyu dogo anapenda mambo ya kuvaa sare sare..
Akikwambia uvae nguo flan ili mtoke basi tambua naye atavaa nguo ya ufanane ili mkitoka muwe km kumbi kumbi