Nimeamua kuuza figo yangu moja ya kulia ili kulipa deni la loan board

Umesoma arts alafu unajiita differential equations??? Mbona unadhalilisha hesabu wewe kijana??
 
Deni halimfungi Mtu!. Tanzania kama Taifa tunadaiwa baada ya mikopo mbalimbali tuliyokopa. Serekali na yenyewe ina madeni ya ndani ya kutosha. Inadaiwa na Taasisi mbalimbali. So usiuze Figo yako kwa sababu eti ya kudaiwa na BODI YA MIKOPO. Tafuta pesa kwa utaratibu utakaona auhatarishi maisha yako. KUDAIWA NA BODI YA MIKOPO SIO MWISHO WA DUNIA
 
Leo unataka kuuza Figo ili ulipe deni,ukishalipa hilo deni una uhakika gani wa kutokua na deni lolote tena katika maisha yako? Ukija kupata deni tena utauza kiungo kingine? Acha kucheza na Afya kijana,

Hata hivyo hii story yako ni kama ya kutunga tu na haupo serious.
 
Heri kufa macho, kuliko kufa moyo......

 
Acha uongo hakuna kozi ya arts inayofikisha garama za mil. 15 ktk vyuo vyetu hapa nchini, labda kama kuna mkopo binafsi ulioomba au ulisoma nje ya nchi
 
Uza tu maana kama ulimaliza chuo na hayo ndo mawazo yako..basi tenah..
 
Tafuta laki sita nikufundishe kutafuta hela zaid ndani ya mwaka nakuhakikishia utakuwa milionea.. Ni pm mkuu.. Na unavosema million 30 ni fix tu unatushika maskio.ni pm km uko serious kufanya biashara nikupe Michongo fasta
mkuu na mimi nipe hiyo michongo
 
Ukishauza lipa hilo deni la 15m halafu nipm nikuelekeze pa kuwekeza hizo 15m zitakazobaki
 
Ukianza kuuza laini yako ya tigo ni pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…