Nimeamua kuuchuna tu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimeamua kuuchuna tu.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Bornvilla, Aug 25, 2012.

 1. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  1) ****: Nilimpigia simu mke
  wangu akapokea hakusema
  'Hallow! Nami nikauchuna.
  Sikuongea mpaka credit yote
  ikaisha!
  2) Zoba: Niligonga mlango mke wangu akafungua, lakini
  hakuniambia karibunikasimam
  a palepale mlangoni mpaka
  kesho yake nikageuza
  nikaondoka.
  3) Zuzu: Tangu nimuoe mke wangu hajaniita mpenzi,
  nimegoma kulala naye hadi leo
  ni miaka 6. Wenzake
  wakamwambia: Wee muongo,
  mbona una watoto wawili?
  Zuzu akajibu: mpaka leo nimegoma kumuuliza kuwa
  watoto ni wa nani?
  NIMEAMUA KUUCHUNA tu..!
   
 2. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Sasa sisi tufanyeje? tukuchagulie unapoweza kufit?
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,996
  Trophy Points: 280
  Peleka kwenye jukwaa mahsusi
   
 4. CUTE

  CUTE JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hahha kha!
   
Loading...