Ukifuata alichokushauri miss neddy kwenye post number 5 utaushinda moyo wako na maisha yataendelea. Epuka Blood pressure wewe bado mbichi sana!
MMU kwa stori za uongo...khaaa!!
nashukuru,na imani utakuwa unaelewa nachojisikia.
naelewa muhimu ni kuamini kaa ukijua imani ina nguvu sana na inaleta mapunduzi uyatakayo
amini unapendwa na uko peke yako basiiiii lakini ukianza kuwaza mara ohooo sijui hivi utajikondesha
nikupe uzoefu wangu shemeji yako yuko nje ya nnchi na hatujaonana tunakaribia mwaka sasa tangu xmas iliyopita lakini mimi huwa simwazii mabaya huko aliko naamini niko peke yangu zaidi namuombea mafanikio tu
hii inasaidia kuleta amani ya moyo
asante love,nashukuru sana kwa ushauri wako,nimekupenda bure!!..
natamani ungekuwa moyoni mwangu,pengne ungenielewa! ustaa wake sio tatizo,tatizo mda wote nawaza kuibiwa
Makubwa sana haya Yaani kumpenda umpende wewe halafu msaada wa mawazo tukupe sisi? Kwa mfano tukisema achana nae atakuletea UKIMWI utasemaje? Haya njoo kwangu basi
Dada yangu akiniambia kapata mwanaume yuko bongo movie ntamwambia tu ..grow up please