[emoji23] [emoji23] [emoji23]Teh
Mimi naitamani ndoa hadi nawshwaa
[emoji57][emoji57] kipikikuchekeshekacho[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wacha we!!
Hicho kimasai nini?[emoji57][emoji57] kipikikuchekeshekacho
Kwani na wewe ulipata zero kama mwenzangu na mimi espy?Hicho kimasai nini?
Zero ndio nini?Kwani na wewe ulipata zero kama mwenzangu na mimi espy?
Ni muunganiko wa viashiria hafifu visivyo makenika ndani ya coconut ya kiumbe kilicho na uzembe wa upambanuzi wa mambo hasa yenye kuleta tija ifunguayo mirija ya miminiko la fursa kila kuchwao pasipo muunganiko wa ufedhuli ulioghalifika ndani yake.Zero ndio nini?
Huu ni uamuzi bora kuliko mwingne wowote..wengne hapa tunataman kurudisha wakati Nyuma ili tuafanye kama ulivyoamua ww lkn ndio too late.Wakuu,kutokana na kuumizwa sana na watoto wa kike basi nimeamua kutokuoa kabisa na badala yake nimeamua kuzalisha wanawake watatu tofauti watakaokuja kuwa wazazi wenzangu.
asanteni