Nimeamua kutokuoa katika maisha yangu

Nimeamua kutokuoa katika maisha yangu

Mkuu

Hujawahi umizwa na chakula? Food poison? Kama ndio, ulichukua hatua gani? Huu ni mfano tu!!!

Hujawahi huzunika, kasirika, chukizwa, katishwa tamaa, vunjwa moyo, na yafananayo hata mara moja???

Fikiri.....chukua hatua🙂

Ni sawa ila dah mapenzi yanauma,..
 
[emoji115] na [emoji116] nimeshindwa kuunganisha maana asee
Uliniuliza je nanihii...ndiyo nikakujibu huyo naniihii(mtoto) ndiye ananifanya niitaman ndoa

Naamini utakuwa umeelewa sasa
 
Hapana mkuu huo sio uamuzi wa busara. Na wala usidhani kukimbia matatizo ndio njia ya kuyatatua. Kuna maana kubwa na umuhimu wa pekee sana wa kuwa baba wa familia yenye mama na watoto chini ya paa moja. Tafakari kwa mara nyingine tena maamuzi yako.
 
Wakuu,kutokana na kuumizwa sana na watoto wa kike basi nimeamua kutokuoa kabisa na badala yake nimeamua kuzalisha wanawake watatu tofauti watakaokuja kuwa wazazi wenzangu.
asanteni

KIONGOZI nikushauri tu hakuna ambae ajaumizwa na mapenz .kungekua na mahakama ya i mavitu ungecheki que yake pale,cha msing mi nadhan upo kweny transition muombe tu mungu atakuletea MTU ambae atakusaulisha kila maumivu yote uliopata ila kusema hutooa sidhan Kama ilo ni jukumu lako itafika wakat utaitaj MTU wa kua nae,so maombi ni muhim umpate yule unayestahili,ni hayo tu.
 
Uliniuliza je nanihii...ndiyo nikakujibu huyo naniihii(mtoto) ndiye ananifanya niitaman ndoa

Naamini utakuwa umeelewa sasa
Hapo fresh kabisaa nimekuelewa sir!
Sasa si ufanye kweli
 
Wakuu,kutokana na kuumizwa sana na watoto wa kike basi nimeamua kutokuoa kabisa na badala yake nimeamua kuzalisha wanawake watatu tofauti watakaokuja kuwa wazazi wenzangu.
asanteni
Me nazani ili kutupunguzia watoto Wa mtaani wasio na malezi ya baba na ni vizuri usizae kabisa
 
Back
Top Bottom