Paprika
JF-Expert Member
- Feb 25, 2017
- 5,950
- 9,880
Watu wanaunguzwa na moto jikoni lakini hawaachi kupikaMkuu
Hujawahi umizwa na chakula? Food poison? Kama ndio, ulichukua hatua gani? Huu ni mfano tu!!!
Hujawahi huzunika, kasirika, chukizwa, katishwa tamaa, vunjwa moyo, na yafananayo hata mara moja???
Fikiri.....chukua hatua🙂