Nimeamua kusema hadharani

Aysee poleni sana, ila hili tatizo mnalo kweli,

Iliwahi nitokeq

invest what you are willing to lose
 
Mimi ninataka kufahamu hii research yako ulikuwa chabo au mwili wako ulikuwa research method?

Mimi nimeshindwa kuuliza ila sijaelewa labda yeye ni specimen au yuko kwenye matangazo ya biashara ya Congo.
 
Hebu elezea jinsi ya kuisisimua hiyo misuli..
 
Jitahidini muwe mnakula mnashiba jamani, haya mambo ya chipsi mayai na chai maandazi hayafai kabisa
 
nimecheka zaidi kwa wanawake wenye pesa, jaman vijana fanyeni kazi
nataka nishauri tu kuwa na pesa yako ni nzr na unakuwa huru kuitumia. I hate kusikia mwanaume anafanya mapenzi na mwanamke ili apate hela. Huwa inanifanya nione dunia inazunguka kinyume.

sorry kuwakwaza viwanaume vinavyopenda kitonga kutoka kwa wanawake. nasikia kabisa uchungu sijui kwa nini
 
"Wana mmu wanne"
Dah haya bwana.
Ingependeza kama wangekuja kuleta mrejesho ilikuaje.
 
Single best ndo mpango mzima. Wewe unataka kupiga kumi ya nini. Malizeni wote uone raha yake hilo moja ni bora kuliko kumi halafu yeye hajaenda hata nusu.
Kazana kuzama uvinza baadae uje na domo limetatuka na mafangasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duh katika yote uliyoandika hili la wasichana wanne jf limenitetemesha mwili na roho
 
Bao tatu za nini sasa? Km wote tumeridhika nao tatu za nini? Wanaume anapenda sana kujitunisha mbele za watu,,,mbona wote mnapigaga moja tu, labda baada ya muda kdg...yani ukiunganisha bao tatu mfululizo bila kutoa/kuchomoaa mi ntahis nimekutana na jini, yani unakojoa unaunga humohumo mpaka matatu?? Aku
 
Mkuu,
Fikiri kidogo mambo ya kusaka fweza. Kipindi hiki jamaa kabana kufuli kila pahali una wakati wa kuwaza ngono kweli?? Sijui wenzangu lakini mimi nikiwa na stress kidogo na haswa kama hakuna kitu mfukoni hata akija mrembo gani huwa namchunia tu. Akifanikiwa kimoja ashukuru wala asioge wiki nzima kwani hiyo namhesabia kuwa ni ngekewa.
Saka pesa, uwe na msimbazi 10 tu mfukoni uone utakavyo fikisha bao 5 kwenda juu bila hizo mitishamba zako.
 
Invest kwenye lishe nzurii madawa sio suluhu
 
Teh
Wanaume wengi hawatakuelewa kabisa
 
inategemeana unaishi wapi na kazi yako ni nini? kama unaishi manzese, tandale, magomeni, buguruni, mbagala etc sehemu ambazo dili kubwa utakazofanya ni kuuza mihogo, juisi ya kupima vikombe n.k, mwili hauchoki wala hauumizi akili kufikiria, pia mkeo ni wa nyumbani haumizi kichwa wala kuchoka kazi yake kukusubiria urudi kazini muanze mchezo.

ila kama wewe ni msomi, kazi zako wewe na mkeo wote wawili ni ngumu, zinatumia akili kufikiri sana, zinaumiza kichwa, mnaumiza kichwa kutafuta pesa au kutetea kampuni yenu ipande juu, upo kazini unapambana ufanikiwe kupandishwa cheo etc, hayo mabao yooote utaweza kupiga labda juma pili au jumamosi siku za kumpumzika. siku zote za kazi wewe na mkeo wote mnarudi vichwa vimechokaaaa, akili haihitaji kitu zaidi ya kimoja ukijitahidi sana viwili....mke ameridhika na anahitaji kupumzika ili mjiandae kesho yake kuamka saa kumi na moja kuanza shughuli kutafuta pesa. ndio utofauti wa maisha huo.

halafu, binafsi huwa sipigi viiingi kama unavyofikiri, na ninaamini wanawake hawahitaji upige mabao meeengi umwage as if kuna mimea unamwagilia huko ndani....naamini it doesn't count kupiga vibao vingi, hata kama ni vibao vya jogoo (vya dakika tano tano hivyo unapofika nusu saa umeshapiga hata viwili)...na ujue mwanaume tukimwaga kidogo lazima uposi kidogo hata kama utaendelea hautaendelea kwa muvu kama mwanzo kutafuta lingine...hivyo mwenzio kama hajajojoa unakuwa umemwacha.

kwetu sisi wenzio ambao tumeanza kufanya mapenzii zamani sana hadi leo bado tunaliungurumisha, tunaweza kupiga kimoja au viwili lakini vinachukua muda mrefu. tunafanya hivyo kwasababu kwetu sisi kuwahi kukojoa ni ugonjwa kabisa unaotakiwa uende hospitali (pre-mature ejaculation)...unatakiwa uande kwa kumwandaa hata kama sio muda mrefu sana, inategemeana na mwanamke alivyo na ana ukame au la, halafu unapomfanya usifanye ili tu ukojoee, fanya ukiwa unamfikiria mwenzio kama ana enjoy au la, mawasiliano ni muhimu ili ujue kama unamkuna vizuri/penyewe au ufanyeje, yeye anataka nini, namna ipi etc, umkune muda mrefu walau dakika ishirini na kuendelea hata nusu saa ivi, usiende harakaaa kama unaendesha baiskeli (kwa uzoefu wangu kwa wanawake wengi pamoja na kwamba wengine wanapenda rafu), unaenda kwa muvu itakayomfanye yeye asikilizie utamu kwenye akili yake, hadi ajojoee..ukiona wewe unataka kuwahi kujojoa unatakiwa urudishe/uabstaini...unaitune kwa kufikiria vitu vingine akili iondoe pale pamoja na kwamba utaendelea kudooo mbegu zitarudi halafu utaanza na moja hadi uone mwenzio misuli inambana na anafika kileleleni...hapo na wewe unaweza kurudisha hisia zooote na mbegu zitamwagika...mwanamke mnene unaweza kwenda naye hada dakika 30 hadi 40 wengine kama haujamwandaa vizuri na kama mkono wako haupo kwenye antena...ila vyembamba kwasababu ya urichabo kitu huwa inaingia yoooote hadi mwisho na vinajojoa mapema sana..pamoja na kwamba wote ukiwa una doo wakati unamtekenya kismii kwa taratibu na kuurudisha utamu ambao wakati mwingine huwa unakimbilia pale karibu na tundu la choo (mpakani na maku...sio utumbukize kidole, tekenya kwa kushtukiza)..utafikiri zilikuwa zimeenda kujificha pale utamwona move zake zinavyobadilika ghafla....na hivyoivyo kwenye antena na wakati huo huo unaendelea na mhogo ukiwa ndani kwa move zitakazomfanya asikilizie na ukigusa sehemu inayomsisimua sana stay there hadi kwa muda kidogo.....michakato yote hii inaeza enda hadi dakika 20 na kuendelea...na mkimaliza utakuta walio wengi hawahitaji tena kurudia (wanawake) kwasababu kwanza wamechoka na kazi, wamechoka na kuhudumia watoto, maandalizi ya kazi ya kesho na kukukuruka mlikofanya, mnakubaliana tu kurudia kesho mkirudi kazini...ndio maisha ya ndoa..

wewe unayeamini mabao mengi ndo kujua kuduuu, naamini wanawake wanashindwa tu kukuambia kuwa unawachafua tu, unawamwagia tuuuu lakini hauwaondoi nyege. depends on the time you have done the work, the techniques unazotumia ambazo kila mwanamke anatofautiana pamoja na kwamba majority zinaendana kwasababu lile eneo wengi liko vilevile tu.....hapo hata uwe na sura mbaya namna gani, uwe hauna pesa...sisi wenzio huwa wanawake wanatung'ang'ania mno.

umri wako ni miaka mingapi? pole sana. labda wanawake wataleta mrejesho hapa nini hasa wanahitaji? mabao mengi wanaume tunayomwaga au mabao mengi wao wanayomwaga....ngonoo sio kuchomeka in out in out na kujojoa...hayo ni mapenzi ya kina kipepe watu wa kwenye gazeti la san....wale bushparty.hahaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…