Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 5,041
- 9,652
Aysee poleni sana, ila hili tatizo mnalo kweli,
Iliwahi nitokeq
invest what you are willing to lose
Iliwahi nitokeq
invest what you are willing to lose
asante bossukweli utakuweka huru siku zote....hongera boss!
asante mkuuAysee poleni sana, ila hili tatizo mnalo kweli,
Iliwahi nitokeq
invest what you are willing to lose
Mimi ninataka kufahamu hii research yako ulikuwa chabo au mwili wako ulikuwa research method?
Hebu elezea jinsi ya kuisisimua hiyo misuli..The first erogenous zone is your Brain!
Kuwa na kifua kikubwa kwa sababu ya gym haimanishi utaumudu mchezo!
Inategemea ni misuli ipi unaisisimua ukiwa gym!
Uume umetengenezwa kwa misuli (smooth muscles)!
Shina la uume limeshikizwa na msuli mmoja wa muhimu katika suala la kudindisha(erection) unaojulikana kama pubococcygeous (PC).
Msuli huu wa PC unaweza kusisimuliwa kama mtu anavyosisimua misuli ya kifua au mikono au sehemu ya mbele ya tumbo!
Acheni kuwapaka mate huko!
Sent using Jamii Forums mobile app
inategemeana unaishi wapi na kazi yako ni nini? kama unaishi manzese, tandale, magomeni, buguruni, mbagala etc sehemu ambazo dili kubwa utakazofanya ni kuuza mihogo, juisi ya kupima vikombe n.k, mwili hauchoki wala hauumizi akili kufikiria, pia mkeo ni wa nyumbani haumizi kichwa wala kuchoka kazi yake kukusubiria urudi kazini muanze mchezo.mambo vp wana mmu
jaman naomba niende direct kwenye hoja
niwe muwaz jamani kwa uchunguzi nilioufanya sehem mbalimbali siku hizi wanaume wengi hatuna uwezo wa kupiga round zaid ya tatu kunako sita kwa sita tena hapo umejitahidi sanaaaa lakini wanaume wengi tunaishia kupiga goli moja na kulala hoi
najua wapo wanaume watakuja kupingana na mimi ila mimi nimejaribu kufikisha ujumbe kwenye jamii kuwa hili tatizo ni kubwa tofauti na sisi wanaume tunavyojaribu kulificha,
Unakuta mtu una uzito wa kawaida gym kila siku huna mafuta ya ajabu ajab lakini ukifika kitandani unapiga viuno viwili vitatu tayari mechi imeisha na usingizi juu
Hivyo nawashauri wanaume wenzangu tujikite sana kwenye kuzama chumvini na kunyonya vitu vingine ambavyo vitamfanya mwanamke afike kileleni haraka. mimi nikianza kuzama chumvini basi nakaa zaidi ya saa nzima kwa ajili ya kujihami
im sorry kwa wababa wote kama nitawakwaza lakin kwenye discussion nyingi tunazokaa sisi wanaume kilio ni hiki
Wengine wanahangaika kupaka unga wa kutoka kongo (mundende) kwenye vichwa vya dushe au wengine tunameza vidonge flani vidogo mnooooo unakimeza basi utapiga show hadi mwanamke aombe poo
ila hizi dawa mara nyingi tunazitumia kwa wanawake ambao ni mara ya kwanza kukutana nao au wake za watu au wanawake wenye pesa lakini siku ukimshtukiza mwanaume kama hajapiga hizi dawa kina dada nawaambia lazima mkutane na vioja
Mimi niliwahi kuvitumia vidonge hivi hata kwa baadhi ya wana mmu niliokutana nao kama wanne.
sorry guys kama nitawakwaza ila mficha maradhi kifo humuumbua
mimi sio mgeni humu ila imebidi nifungue akaunti mpya wiki hii ili niwe huru kwenye kuchangia mawazo