nimependa mtazamo wako wa ndoa... nadhani ndio ndoto ya kila mwanamkeNdio nimeamua kuolewa at last but at my own conditions. Kwa kweli nimechoshwa na masharobaro wa hapa mjini, yaani uwizi mtupu, usanii and too many heart breaks, I have to come to conclusion love is not meant for me.
Niko katika mchakato lakini nataka hii ndoa iwe purely of benefits more or less marriage of convenience. Sitaki kuolewa kwa love cause it doesnt and never worked with me, sitaki kuwa nyumba ndogo, sitaki kuzaa na mume wa mtu, sitaki kuzaa nje ya ndoa, sitaki kulea mume, sitaki kuruka ruka kila siku.
Ninachotaka ni kukidhi matamanio ya mwili, kuendeleza kizazi (tukijaliwa), awe responsible dad to his kids kwasababu sitaki niwe single parent at same wakose mapenzi ya baba yao. Tutasaidiana maisha half half hasa yanayohusu watoto wetu. LOL
Now the challenging part, nataka mawazo yenu, nini nifanye ili hii marriage ionekana attractive kwa mume mtarajiwa. Naomba brainstorming zenu kabla sijaweka bandiko. Maana its like contract and going to be renewable see if we fit, au precaution gani nichukue......
Mtambuzi , Kongosho , Kaunga , The Boss , ndyoko , Preta , Eiyer , King'asti , na Nyani Ngabu na wengineo wote naombeni busara zenu.
Ndio nimeamua kuolewa at last but at my own conditions. Kwa kweli nimechoshwa na masharobaro wa hapa mjini, yaani uwizi mtupu, usanii and too many heart breaks, I have to come to conclusion love is not meant for me.
Niko katika mchakato lakini nataka hii ndoa iwe purely of benefits more or less marriage of convenience. Sitaki kuolewa kwa love cause it doesnt and never worked with me, sitaki kuwa nyumba ndogo, sitaki kuzaa na mume wa mtu, sitaki kuzaa nje ya ndoa, sitaki kulea mume, sitaki kuruka ruka kila siku.
Ninachotaka ni kukidhi matamanio ya mwili, kuendeleza kizazi (tukijaliwa), awe responsible dad to his kids kwasababu sitaki niwe single parent at same wakose mapenzi ya baba yao. Tutasaidiana maisha half half hasa yanayohusu watoto wetu. LOL
Now the challenging part, nataka mawazo yenu, nini nifanye ili hii marriage ionekana attractive kwa mume mtarajiwa. Naomba brainstorming zenu kabla sijaweka bandiko. Maana its like contract and going to be renewable see if we fit, au precaution gani nichukue......
Mtambuzi , Kongosho , Kaunga , The Boss , ndyoko , Preta , Eiyer , King'asti , na Nyani Ngabu na wengineo wote naombeni busara zenu.
mshauri abaki single
Mapenzi yafafanue kama mapenzi na sio ya sasa na zamani. Uzuri wa kitu hauwezi kupotea eti kuna watu hawajui wanachofanya huku wakijidai eti wana mapenzi. Mapenzi yatabaki kuwa msingi wa ndowa na yasipokuwepo au kujengwa ndani ya ndowa patakuwa na tatizo.
MadameX haishi vituko!
Ndoa ni mkataba wa watu wawili. Huwezi ukaolewa on your OWN CONDITIONS! this is too selfish. We ungesema unataka mtu ambaye mtoana kwa msingi wa urafiki siyo lazima mapenzi labda yadevelop yenyewe baadaye.
Lakini unasound kama sadist fulani. Nilikuwa na rush, nikipata muda mzuri nitakujuza.
Ila usife moyo dadangu.
MadamX ili hiyo ndowea iwe unavyotaka inabidi usawazishe mivutano iliyomo katika nafsi yako. Bolds na hizo nyekundu haziwezi kuenda pamoja hata siku moja. Unataka ndowa ya kuaminiana wakati huo huo hutaki mapenzi? Haya sasa wewe huna kitu mapenzi ,sasa huyo mwenzako yake ayapeleke wapi? Nyumba ndogo?
MadameX kutokana na jinsi wanaume wa siku hizi tulivyo, I think you are dreaming......... huo ndio ukweli!Ndio nimeamua kuolewa at last but at my own conditions. Kwa kweli nimechoshwa na masharobaro wa hapa mjini, yaani uwizi mtupu, usanii and too many heart breaks, I have to come to conclusion love is not meant for me.
Niko katika mchakato lakini nataka hii ndoa iwe purely of benefits more or less marriage of convenience. Sitaki kuolewa kwa love cause it doesnt and never worked with me, sitaki kuwa nyumba ndogo, sitaki kuzaa na mume wa mtu, sitaki kuzaa nje ya ndoa, sitaki kulea mume, sitaki kuruka ruka kila siku.
Ninachotaka ni kukidhi matamanio ya mwili, kuendeleza kizazi (tukijaliwa), awe responsible dad to his kids kwasababu sitaki niwe single parent at same wakose mapenzi ya baba yao. Tutasaidiana maisha half half hasa yanayohusu watoto wetu. LOL
Now the challenging part, nataka mawazo yenu, nini nifanye ili hii marriage ionekana attractive kwa mume mtarajiwa. Naomba brainstorming zenu kabla sijaweka bandiko. Maana its like contract and going to be renewable see if we fit, au precaution gani nichukue......
Mtambuzi , Kongosho , Kaunga , The Boss , ndyoko , Preta , Eiyer , King'asti , na Nyani Ngabu na wengineo wote naombeni busara zenu.
hata mie muda ukifika lazima nijivue gamba aisee....
ila mie nataka company tu,sitaki sex wala watoto,sijui mwanaume gani atakubali hizi terms lol :wacko: