Joeli
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 4,941
- 3,402
nimependa mtazamo wako wa ndoa... nadhani ndio ndoto ya kila mwanamkeNdio nimeamua kuolewa at last but at my own conditions. Kwa kweli nimechoshwa na masharobaro wa hapa mjini, yaani uwizi mtupu, usanii and too many heart breaks, I have to come to conclusion love is not meant for me.
Niko katika mchakato lakini nataka hii ndoa iwe purely of benefits more or less marriage of convenience. Sitaki kuolewa kwa love cause it doesnt and never worked with me, sitaki kuwa nyumba ndogo, sitaki kuzaa na mume wa mtu, sitaki kuzaa nje ya ndoa, sitaki kulea mume, sitaki kuruka ruka kila siku.
Ninachotaka ni kukidhi matamanio ya mwili, kuendeleza kizazi (tukijaliwa), awe responsible dad to his kids kwasababu sitaki niwe single parent at same wakose mapenzi ya baba yao. Tutasaidiana maisha half half hasa yanayohusu watoto wetu. LOL
Now the challenging part, nataka mawazo yenu, nini nifanye ili hii marriage ionekana attractive kwa mume mtarajiwa. Naomba brainstorming zenu kabla sijaweka bandiko. Maana its like contract and going to be renewable see if we fit, au precaution gani nichukue......
Mtambuzi , Kongosho , Kaunga , The Boss , ndyoko , Preta , Eiyer , King'asti , na Nyani Ngabu na wengineo wote naombeni busara zenu.
Last edited by a moderator: