Ishu sio mtu anafanya shughuli gani (baamedi...mwalimu..n.k) ila ni tabia binafsi na vile alivyo ndivyo vinavyomfanya awe mke mzuri au mbaya.
Unaweza na wewe ukafuata mkumbo na kuchagua shughuli ya mtu badala ya mtu uturudie hapa ukilia!!
Omba Mungu ufanikiwe mwanamke atakaekufaa kama mke na rafiki bila kujali shughuli anayofanya!!
Na angalia, usisafirie nyota ya mwenzio ndugu yangu, kama kwake iliwork usidhani kwako itafaa...kuwa macho babuu!
utakuwa umeachika wiki hiiWanawake wengi siku hizi hasa wale wanaojiweza kielimu na kipato ni stress tupu.
Bora kuoa baa medi kuliko kuparamia wanyama.
Kila mwanamke ninayekuwa naye tukifika mahali nagundua kuwa hatanifaa kwa kuoa kutokana na tabia zao...wengi hawatulii. Nimejaribu kila aina kuanzia wasomi wa elimu ya juu, warembo, wenye fedha....n.k; lakini wote wana matatizo mengine tofauti, mengine yanafanana. Kiufupi hawafai kuwa MKE.
Sasa jamaa yangu yeye alichukua baamedi kipindi kile tunaenda kwenye kilaji, akakolea akavuta kitu ndani. Yaani wana maisha ya raha ile mbaya. Hadi sasa wana watoto wawili na maisha yao yanaendelea raha mustarehe...hawajawahi kugombana wala kuzozana hata siku moja. Ni heshima na upendo kwa kwenda mbele.
Mshikaji amenishauri nami nivute baamedi nifanye kama yeye. Tayari kuna kitu kimoja kwenye baa moja maarufu sana hapa mjini nakivizia. Kikiingia laini tu nakiweka ndani.
SI UTANI NIMEAMUA KUOA BAAMEDI. Labda stress zitapungua!

Hiyo red kawaambie watoto wenzio wasio na ndoa. Hakuna kitu kama hicho kwa binadamu asilani abadani
Ugombane na Mama/Baba/Kaka/Dada nk ndugu wa damu sembuse mliokutana wote mna meno 32??? Hilo sahau
We tafuta taratiiiiiiiiiiiibu utakae pata anae kupenda basi unafika bei jumla usilembe wenye madau wakakuzidi.
Mmoja akijifanya mjinga kamwe ugomvi hauwezi tokea daima milele
Mke mwema hutoka kwa Mungu, uoe Barmaid au m2 aolewe na Bartender hakuna shida ilimradi mioyo iridhiane. Songer mbele 2!
Nashukuru kwa kunipa moyo mkuu.
Naona "warembo wasomi" wa humu wameshaanza kunishambulia. Wanajijua udhaifu wao.