Nimeamua kunywa pombe from now until morning

Nimeamua kunywa pombe from now until morning

UWOGA=UMASKINI

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
2,400
Reaction score
1,017
friends nilikuwa nimeomba tenda flani mkoani na nilitegemea nitapata but sikupata.ila Nina mke na watoto watatu nimerudi nyumbani chumba kiko rafu watoto rafu mke wangu naye
ananiona nimekasirika haulizi Nina nini huku hajui yaliyonikuta huko mkoani naye kanuna na kaamua kulala mi kichwa kinazunguka sioni wa kunipa MOYO so nikaamua kuhamia hapa bar naona naanza pata furaha BAADA ya hawa wadada kunipa MOYO bila kujua nimekwazwa na nini wakiwa wananiambia haya ni maisha tu braza one day utapata unachotaka nimewaona ni wa maana ZAIDI ya mke wangu na nimewanunulia bia za kutosha wanywe na Mimi nakunywa mpaka usiku narudi home kulala tu nikikuta mnuno uleule naenda lala na baamedi tutajua asubuhi yaliyopita kwa kuw mke wangu kashindwa kuniweka sawa so sina raha hapo home bora hapa bar.heri yenu wake zenu wanajua nafasi zao.good night mtauepuka ukimwi ila siye ambaye hatubembelezwi tunabembelezwa na mabaamedi sijui

kama salama yetu ipo
ananiona
 
haya maisha braza one day yes by the way tunapita tu maneno haya ningeyapata kwa mke wangu yangekuwa faraja sana kwangu
 
Kwa hiyo hiyo via ndo itakufariji?? Kwa style hiyo hao mabaamedi watakua wamewabembeleza wangapi?? Afya yako jee?? Watoto Wako huwafikirii PIA??? Muanze kumsemesha wewe atakieleza nn shida pengine anakubembelezaga mnoo unajitia kichwa maji huoni faida Leo amechoka
 
Kwa hiyo hiyo via ndo itakufariji?? Kwa style hiyo hao mabaamedi watakua wamewabembeleza wangapi?? Afya yako jee?? Watoto Wako huwafikirii PIA??? Muanze kumsemesha wewe atakieleza nn shida pengine anakubembelezaga mnoo unajitia kichwa maji huoni faida Leo amechoka

acha braza mi sijui kubembelezwa nini na sijawahi bembelezwa sasa ni bora nibembelezwe na hawa wanaobembeleza wengi
 
Yani ujinunishe tu afu huyo unaemuita make yako akubembeleze, jinga kweli nuna hadi upasuke

eveln kwanza nakupenda sana napenda opinion zako mda mrefu na kama unakumbuka nilishawahi kuwa na rafiki yangu aliyekwama kwenye NDOA yake ukanipa MOYO wa kumshauri na nilifanya uliyonielekeza ila ndugu we acha tu
 
no no ila huko nielekeako nitalewa tu yaana kuanzia sasa 4.30 had I asubh nitalewa tu coz Nina shakunywa via nne

Teh teh..umechanganya na Konya au? Slow down bana..ikibidi log out. Kesho utupe mrejesho
 
Ndiyo,hakika huyu amepiga vyombo anaonesha tu!Duu pole kaka.Ningekwambia kitu ila tuishie hapo tu.
 
Back
Top Bottom