Nimeamua kunoa panga

Hahahah...kwa nini kaka mkubwa?
"Itakuwa tmk wanaume wanafanya show." Quote
Sijawahi kukusikia ukiongea sana, wewe huwa ni vibwagizo tu! Sasa na wale jamaa huwa wanapenda sana vitu kama hivyo..
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi ladydoctor, Bishanga na Kaizer wamenitukana mpaka basi nikirudi nawafurumishia ya kichina msulubiweeeeeeeeeeee

hahahaaa...... We ulitakiwa ukae na mimi vizuri ili nikutafsirie hizo filigisi alizoandika mumeo......... Ngoja nikupe POLE kwanza, maana Bishanga amekuweka *** wa mnyama kabisaa!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…