Nimeamua kumuacha tu mwizi, haeleweki kiukweli

Wewe labda hukuelewa vizuri mapatano yenu, huenda mwenyewe alikuwa anakuuzia wewe unamchukulia demu wako. Wajua muda mwingine tunajipa gharama za bure, badala ya kutaka kumiliki we tangaza dau tu, kila mkikutana unampa chake anasepa. sasa wewe mkutane ela umpe, nguo ununue, vocha utume, matatizo yake usikilize si kutiana hasara huko.

Aisee toka nimekuwa single nimegundua nilikuwa napoteza pesa nyingi sana kwa kuhudumia watu eti kwa jina la mpenzi. Yani nilikuwa napoteza pesa nyingi sana aisee. Mara simu, mara vocha, mara pesa ya matumizi mara sijui nguo, mara ujitume hata kabla ya kutumwa ununue zawadi wakati hata sijaombwa.

Aisee mapenzi utumwa, unajituma kabla ya kutumwa. Life is good if you know what you want....
Pesa ya matumizi kwani mkeo uyo mpe pesa ukimuoa arafu kama ishu anakupa penzi anae umia na kudhofika zaidi wakati wa kufanya ngono ni we mwanaume why mnateseka ivi vijana dah.....
 
Mkuu tunafuata maneno ya wahenga, na ule wimbo wa wanaumbe tumeumbwa matesooo matesooo kuhangaika.
 
Nilikua na mwanamke wa ajabu sana

Ni demu wangu akija geto kwangu kufanya mambo yetu anakaa hata siku 3 tunakula tunakunywa na bata kama lote halaf akitoka hapo anataka umlipe

Kuna wanawake wa ajabu dunia hii, nlikua nadate na kiazi aisee siku una pesa haelewi ukiwa na nacho na usipokua nacho muda wote anaona unambania tu pesa

Mwanamke gani haelewag mtu akiwa na shida au wakat mgumu?Lakini ukiwa nacho unampa na unamtumia

Unauguliwa au upo kwa kipindi kigumu hajui hata kufariji au hata ukiwa unaumwa hata msg ya unaendeleaje hatumi zaidi ataongea tu shida zake umtamtulie

Siku hiyo kaja geto kakuta nina week ngumu kinyama manzi hata haelewi nilimpa elfu 5 maana hiyo week nilikua nimefulia vibaya mnoo yaani nilibakiwa na elfu 15 tu nikampa 5000 nikamuelewesha, nimetoka tu nimeenda nje akaiba ile 10000 nakuja nasaka wapi sikumuuliza chochote kile nikakausha

Nimekaa kama 3 weeks tu nikimtext na kumpigia cm hata vocha namtumia leo nikamwambia aje eti ananiuliza "pesa ipo?"

Hapo nikabaki nimeduwaa nikamuuliza kwani we upo kwangu kimapenz au upo kimaslah au unajiuza kwangu?eti likamaind

Siwezi kufuga ujinga mimi nimepiga chini sitaki mazoea naye kuanzia leo!

Wanawake wengine siyo kabisa najuta nguvu zangu na nilivyokupambania hizo hela nilizokua nakupa kila week bora ningemtumia tu mamangu mzazi ipo siku utanikumbuka!

Niwekeze nguvu zangu kwenye kutafuta pesa tu sasahv na kujiwekeza mm km mimi nyambafu
Pole sanaa mkuu kifupi ulikuwa unadate kahaba wa kinondoni makaburini
 
Nimekaa kama 3 weeks tu nikimtext na kumpigia cm hata vocha namtumia leo nikamwambia aje eti ananiuliza "pesa ipo?"

Pole sana, kauli mbovu sana hii...

Cc: mahondaw
 
Mad

Mademu wengine sijui huwa mnawakuta wapi??
 
Siku hizi huwa sitongozi mwanamke,bali huwa nawashawishi tufanye ngono direct kabsa na tunaelewana kabsa bei,hii huwa hainipi shida hata nikirud hom kwa wife simu nakuwa na amani nayo hakuna msg za kubebishana na malaya wa nje yaan full raha!
 
Nilikua na mwanamke wa ajabu sana

Ni demu wangu akija geto kwangu kufanya mambo yetu anakaa hata siku 3 tunakula tunakunywa na bata kama lote halaf akitoka hapo anataka umlipe

Kuna wanawake wa ajabu dunia hii, nlikua nadate na kiazi aisee siku una pesa haelewi ukiwa na nacho na usipokua nacho muda wote anaona unambania tu pesa

Mwanamke gani haelewag mtu akiwa na shida au wakat mgumu?Lakini ukiwa nacho unampa na unamtumia

Unauguliwa au upo kwa kipindi kigumu hajui hata kufariji au hata ukiwa unaumwa hata msg ya unaendeleaje hatumi zaidi ataongea tu shida zake umtamtulie

Siku hiyo kaja geto kakuta nina week ngumu kinyama manzi hata haelewi nilimpa elfu 5 maana hiyo week nilikua nimefulia vibaya mnoo yaani nilibakiwa na elfu 15 tu nikampa 5000 nikamuelewesha, nimetoka tu nimeenda nje akaiba ile 10000 nakuja nasaka wapi sikumuuliza chochote kile nikakausha

Nimekaa kama 3 weeks tu nikimtext na kumpigia cm hata vocha namtumia leo nikamwambia aje eti ananiuliza "pesa ipo?"

Hapo nikabaki nimeduwaa nikamuuliza kwani we upo kwangu kimapenz au upo kimaslah au unajiuza kwangu?eti likamaind

Siwezi kufuga ujinga mimi nimepiga chini sitaki mazoea naye kuanzia leo!

Wanawake wengine siyo kabisa najuta nguvu zangu na nilivyokupambania hizo hela nilizokua nakupa kila week bora ningemtumia tu mamangu mzazi ipo siku utanikumbuka!

Niwekeze nguvu zangu kwenye kutafuta pesa tu sasahv na kujiwekeza mm km mimi nyambafu
Ww ndo hueleweki. Je ulimtolea barua kwa wazazi ? Yy alishaweka msimamo wake. Hujamuwekea matumaini ya maana. Ndo maana aliamuà kukuchuna kimaana. Bado ujachelewa. Fanya maamuzi ya busara
 
Nimesoma yote huku nikihisi OP sio yeye, baadae nikarudi juu kujiridhisha... nimestuka!
 
Nilikua na mwanamke wa ajabu sana

Ni demu wangu akija geto kwangu kufanya mambo yetu anakaa hata siku 3 tunakula tunakunywa na bata kama lote halaf akitoka hapo anataka umlipe

Kuna wanawake wa ajabu dunia hii, nlikua nadate na kiazi aisee siku una pesa haelewi ukiwa na nacho na usipokua nacho muda wote anaona unambania tu pesa

Mwanamke gani haelewag mtu akiwa na shida au wakat mgumu?Lakini ukiwa nacho unampa na unamtumia

Unauguliwa au upo kwa kipindi kigumu hajui hata kufariji au hata ukiwa unaumwa hata msg ya unaendeleaje hatumi zaidi ataongea tu shida zake umtamtulie

Siku hiyo kaja geto kakuta nina week ngumu kinyama manzi hata haelewi nilimpa elfu 5 maana hiyo week nilikua nimefulia vibaya mnoo yaani nilibakiwa na elfu 15 tu nikampa 5000 nikamuelewesha, nimetoka tu nimeenda nje akaiba ile 10000 nakuja nasaka wapi sikumuuliza chochote kile nikakausha

Nimekaa kama 3 weeks tu nikimtext na kumpigia cm hata vocha namtumia leo nikamwambia aje eti ananiuliza "pesa ipo?"

Hapo nikabaki nimeduwaa nikamuuliza kwani we upo kwangu kimapenz au upo kimaslah au unajiuza kwangu?eti likamaind

Siwezi kufuga ujinga mimi nimepiga chini sitaki mazoea naye kuanzia leo!

Wanawake wengine siyo kabisa najuta nguvu zangu na nilivyokupambania hizo hela nilizokua nakupa kila week bora ningemtumia tu mamangu mzazi ipo siku utanikumbuka!

Niwekeze nguvu zangu kwenye kutafuta pesa tu sasahv na kujiwekeza mm km mimi nyambafu
Umedharirisha sana dada yetu, ulipata wapi jeuri ya kumwambia anajiuza ?
Wewe utakuwa mwanaccm maana mmezoea sana kuwadharirisha mama zetu
 
Back
Top Bottom