Nimeamua kumuacha tu mwizi, haeleweki kiukweli

Nilikua na mwanamke wa ajabu sana

Ni demu wangu akija geto kwangu kufanya mambo yetu anakaa hata siku 3 tunakula tunakunywa na bata kama lote halaf akitoka hapo anataka umlipe

Kuna wanawake wa ajabu dunia hii, nlikua nadate na kiazi aisee siku una pesa haelewi ukiwa na nacho na usipokua nacho muda wote anaona unambania tu pesa

Mwanamke gani haelewag mtu akiwa na shida au wakat mgumu?Lakini ukiwa nacho unampa na unamtumia

Unauguliwa au upo kwa kipindi kigumu hajui hata kufariji au hata ukiwa unaumwa hata msg ya unaendeleaje hatumi zaidi ataongea tu shida zake umtamtulie

Siku hiyo kaja geto kakuta nina week ngumu kinyama manzi hata haelewi nilimpa elfu 5 maana hiyo week nilikua nimefulia vibaya mnoo yaani nilibakiwa na elfu 15 tu nikampa 5000 nikamuelewesha, nimetoka tu nimeenda nje akaiba ile 10000 nakuja nasaka wapi sikumuuliza chochote kile nikakausha

Nimekaa kama 3 weeks tu nikimtext na kumpigia cm hata vocha namtumia leo nikamwambia aje eti ananiuliza "pesa ipo?"

Hapo nikabaki nimeduwaa nikamuuliza kwani we upo kwangu kimapenz au upo kimaslah au unajiuza kwangu?eti likamaind

Siwezi kufuga ujinga mimi nimepiga chini sitaki mazoea naye kuanzia leo!

Wanawake wengine siyo kabisa najuta nguvu zangu na nilivyokupambania hizo hela nilizokua nakupa kila week bora ningemtumia tu mamangu mzazi ipo siku utanikumbuka!

Niwekeze nguvu zangu kwenye kutafuta pesa tu sasahv na kujiwekeza mm km mimi nyambafu
Dah pole sana, imekuaje umechelewa kugundua
 
Hapa hakuna muachaji, Unatuzuga tu!
 
Back
Top Bottom