Baada ya kuziuza ndege hizo nunua mabasi ya mikoani ya serikali pamoja na mabasi madogo aina ya coaster
Haya mabasi ya abiria yatakuwa yanafanya safar za mikoani kwa nauli pungufu ukilinganisha na mabasi ya watu binafsi,mfano basi la Magufuli likiondoka Dar to Mwanza linapaswa kufika siku hiyo hiyo bila kulala njiani
Haya mabasi madogo aina ya coaster yatakuwa yanafanya safar za wilaya to wilaya na baada ya mwaka mmoja unaweza kukusanya fedha nyingi sana
Ase! Nimekodoa macho nikitaraji kuona ushauri wa maana! Ningekuona GT wa maana kama ungekuwa unashauri kuwa pesa zitakazokusanywa zielekezwe kwenye kumalizia SGR na kuimarisha mifumo yote ya Treni nchi hii. Pili kiasi kama bado imebaki nguvu ielekezwe kwenye kuwekeza kwenye Gesi kwa matumizi ya Majumbani na Viwandani.