Nimeamua kumshauri Rais Magufuli

Nimeamua kumshauri Rais Magufuli

Mtoa maada, moja ya source kubwa ya income ni tourism. Watalii hawaletwi na Mabasi na coasters. Watalii hawatoki Bunju wala Ifakara kaka.
Ila. Kwelii kama. Na kuelewa vile

{Karibu tembelea, subscribe chanel yangu ya youtube jina Misifa Skills,Link hii hapa
 
Ushauri mzuri..
Mh.Rais najua wafuasi wako wapo humu jukwaani kama siyo wewe mwenyewe,naipenda nchi yangu Tanzania na kwa mantiki hiyo napaswa kukutambua kama Rais wa Taifa langu hata kama sikupendi

Najua umefanya juhudi kubwa sana za kutukamua Watanzania mpaka umenunua ndege,najua umetumia nguvu nyingi sana kwenye korosho na matokeo yanaonekana,najua watumishi wa umma wanafuraha sana kwa kasi tunayoenda nao,hao wanaosema hali ni mbaya sijui uchumi umeshuka wote ni wachochezi wanaotumwa na mabeberu

Wanasiasa wanaolalamika kwamba demokrasia imeminywa;hawajui kuwa umefanya hivyo kwa nia njema ili Watanzania wafanye kazi japo kazi ya mwanasiasa ni kufanya kazi...hao pia hawajui kuwa sisi wana-ccm tunajua kuwa tukiruhusu mikutano ya kisiasa wataenda kuwaambia wananchi ukweli

Yote tisa, kumi nataka nikushaur vzr Rais wa Wanyonge (kama ambavyo huwa unajiita mwenyewe) na huu ndyo ushaur wangu usome kupitia jamii forum

Unapaswa kuuza ndege zote ulizozinunua kabla hazijatuletea hasara kubwa kupindukia kwa kuwa siioni kama kuna mwisho mzur wa ndege hizo
Baada ya kuziuza ndege hizo nunua mabasi ya mikoani ya serikali pamoja na mabasi madogo aina ya coaster

Haya mabasi ya abiria yatakuwa yanafanya safar za mikoani kwa nauli pungufu ukilinganisha na mabasi ya watu binafsi,mfano basi la Magufuli likiondoka Dar to Mwanza linapaswa kufika siku hiyo hiyo bila kulala njiani
Haya mabasi madogo aina ya coaster yatakuwa yanafanya safar za wilaya to wilaya na baada ya mwaka mmoja unaweza kukusanya fedha nyingi sana

Pia,kwenye ndege unawaachia wawekezaji hasa wahindi ambao wao wanaonekana kuwa wako vzr sana kwenye biashara ya usafiri wa anga

Hapo lazma utatoboa na biashara zote unazotaka kuzifanya hakikisha kuwa umezungumza na watu wanaozifaham biashara hizo vzr kabla hujaingiza miguu yote kama kwenye Bombardiers

Upokee ushaur huo!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuhakuna cha utalii wala mama take utalii .muda utazungumza

Comment with points. Unaonekana ni mtu mwenye nongwa na wivu wa maendeleo bila ya kuwa na sababu za msingi. Watu wengine wanafanana na watu kumbe ...............
 
Kwa hiyo mtalii atoke Marekani na hizo coster?.Ushauri mwingjne wa ki#€, $@nge .
Inanikumbusha utawala flani mbunge mmoja wa Mafia alisema tusianzishe TV mpaka watu waelimike ajabu wakati huo Zanzibar ilikuwepo.
This is inferior complexed idea.
Kama biashara ngumu ya ndege mbona Ethiopia na Rwanda wameweza.
Watu wa dizaini hii ni wale wanaosema simu ya kiganjani na gari ni luxury wakati ni necessity.
Watu wa design hii ndio wanaolalia ngozi ya ng'ombe wakati ana ng'ombe 5000 kisa kununua kitanda ni luxury

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh.Rais najua wafuasi wako wapo humu jukwaani kama siyo wewe mwenyewe,naipenda nchi yangu Tanzania na kwa mantiki hiyo napaswa kukutambua kama Rais wa Taifa langu hata kama sikupendi

Najua umefanya juhudi kubwa sana za kutukamua Watanzania mpaka umenunua ndege,najua umetumia nguvu nyingi sana kwenye korosho na matokeo yanaonekana,najua watumishi wa umma wanafuraha sana kwa kasi tunayoenda nao,hao wanaosema hali ni mbaya sijui uchumi umeshuka wote ni wachochezi wanaotumwa na mabeberu

Wanasiasa wanaolalamika kwamba demokrasia imeminywa;hawajui kuwa umefanya hivyo kwa nia njema ili Watanzania wafanye kazi japo kazi ya mwanasiasa ni kufanya kazi...hao pia hawajui kuwa sisi wana-ccm tunajua kuwa tukiruhusu mikutano ya kisiasa wataenda kuwaambia wananchi ukweli

Yote tisa, kumi nataka nikushaur vzr Rais wa Wanyonge (kama ambavyo huwa unajiita mwenyewe) na huu ndyo ushaur wangu usome kupitia jamii forum

Unapaswa kuuza ndege zote ulizozinunua kabla hazijatuletea hasara kubwa kupindukia kwa kuwa siioni kama kuna mwisho mzur wa ndege hizo
Baada ya kuziuza ndege hizo nunua mabasi ya mikoani ya serikali pamoja na mabasi madogo aina ya coaster

Haya mabasi ya abiria yatakuwa yanafanya safar za mikoani kwa nauli pungufu ukilinganisha na mabasi ya watu binafsi,mfano basi la Magufuli likiondoka Dar to Mwanza linapaswa kufika siku hiyo hiyo bila kulala njiani
Haya mabasi madogo aina ya coaster yatakuwa yanafanya safar za wilaya to wilaya na baada ya mwaka mmoja unaweza kukusanya fedha nyingi sana

Pia,kwenye ndege unawaachia wawekezaji hasa wahindi ambao wao wanaonekana kuwa wako vzr sana kwenye biashara ya usafiri wa anga

Hapo lazma utatoboa na biashara zote unazotaka kuzifanya hakikisha kuwa umezungumza na watu wanaozifaham biashara hizo vzr kabla hujaingiza miguu yote kama kwenye Bombardiers

Upokee ushaur huo!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu humpendi utampaje ushauri mzuri?
 
Ulipokuwa unasoma inavyoelekea ulikuwa mtoro sana na ulikuwa mgumu sana wa kuelewa...usiilazimishe akili yako kuelewa jambo ambalo lipo juu ya uwezo wako wa ufahamu na utashi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mweshimiwa Rais wangu ana kazi sana, Binafsi hata nikutana nae naweza kumpa hata nyumba yangu nirudi nikapange.

Moja ya kazi kubwa ni kutupa thamani Watanzania kutufanyia mazuri yenye tija, na kulifanya Taifa kuwa na Uchumi mkubwa barani Afrika na heshima kwetu Wanachi.

Bahati mbaya anatufanyia mazuri yote haya ila baadhi ya watu hatujui wala hatuoni mbele yetu kuna nini!! Ili lina niumiza sana katika Maisha yangu. Ila nacho kiamini Mungu ni mwema siku zote.

Hongera sana Wazazi wa Mh Rais
Asante sana Mungu kwa kutupa Nyota ya kipekee ambayo haitafutika katika Maisha yetu. Mungu ni mwema siku zote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atataniaje ukweli?
Najua unajua kuwa wale wanaccm wa humu ni wanafiki wa kiwango cha ukuta wa Mexico na USA! Mmojawapo ni huyu barbarosa na johnthebapist wanaong'ata na kupuliza mithili ya panya! Ukiwasoma kwa makini na kwa lugha ya kifasihi utawagundua walivyo mant-ccm et al!
 
Back
Top Bottom