monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,883
- 13,621
Mh.Rais najua wafuasi wako wapo humu jukwaani kama siyo wewe mwenyewe,naipenda nchi yangu Tanzania na kwa mantiki hiyo napaswa kukutambua kama Rais wa Taifa langu hata kama sikupendi
Najua umefanya juhudi kubwa sana za kutukamua Watanzania mpaka umenunua ndege,najua umetumia nguvu nyingi sana kwenye korosho na matokeo yanaonekana,najua watumishi wa umma wanafuraha sana kwa kasi tunayoenda nao,hao wanaosema hali ni mbaya sijui uchumi umeshuka wote ni wachochezi wanaotumwa na mabeberu
Wanasiasa wanaolalamika kwamba demokrasia imeminywa;hawajui kuwa umefanya hivyo kwa nia njema ili Watanzania wafanye kazi japo kazi ya mwanasiasa ni kufanya kazi...hao pia hawajui kuwa sisi wana-ccm tunajua kuwa tukiruhusu mikutano ya kisiasa wataenda kuwaambia wananchi ukweli
Yote tisa, kumi nataka nikushaur vzr Rais wa Wanyonge (kama ambavyo huwa unajiita mwenyewe) na huu ndyo ushaur wangu usome kupitia jamii forum
Unapaswa kuuza ndege zote ulizozinunua kabla hazijatuletea hasara kubwa kupindukia kwa kuwa siioni kama kuna mwisho mzur wa ndege hizo
Baada ya kuziuza ndege hizo nunua mabasi ya mikoani ya serikali pamoja na mabasi madogo aina ya coaster
Haya mabasi ya abiria yatakuwa yanafanya safar za mikoani kwa nauli pungufu ukilinganisha na mabasi ya watu binafsi,mfano basi la Magufuli likiondoka Dar to Mwanza linapaswa kufika siku hiyo hiyo bila kulala njiani
Haya mabasi madogo aina ya coaster yatakuwa yanafanya safar za wilaya to wilaya na baada ya mwaka mmoja unaweza kukusanya fedha nyingi sana
Pia,kwenye ndege unawaachia wawekezaji hasa wahindi ambao wao wanaonekana kuwa wako vzr sana kwenye biashara ya usafiri wa anga
Hapo lazma utatoboa na biashara zote unazotaka kuzifanya hakikisha kuwa umezungumza na watu wanaozifaham biashara hizo vzr kabla hujaingiza miguu yote kama kwenye Bombardiers
Upokee ushaur huo!
Sent using Jamii Forums mobile app