Nimeamua kulima, naomba msaada

popo1986

JF-Expert Member
Jul 30, 2014
1,120
372
Wanabodi binafsi kwa ukakasi wa maisha nimeona bora nilime lkn nikiwa na maono ya kuwa supplier mkubwa nchini na nchi za Jirani hususani katika restaurants na hotels... Kwa kuwasambazua Nataka kama mchele, unga, kunde na mazao mengi ya chakula.....
Nahitaji MSAADA na ushauri juu ya wapi Naweza kupata shamba kubwa kwenye udingo wenye rutuba nzuri ....naomba msaada ktk hilo

0625520125
 
Back
Top Bottom