kilombero yetu
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 1,004
- 117
kama ccm inakubali kukosolewa, walimfanya nini:-
1: Mzee abdu jumbe
2: Horace kolimba
3: Walimkosakosa nape na sitta
4:...
kama CCM inakubali kukosolewa, walimfanya nini:-
1: Mzee Abdu Jumbe
2: Horace Kolimba
3: Walimkosakosa Nape na Sitta
4:...
Ashachelewa.Huna lolote, sema umeona sheikh kafariki ndo unaenda kurithi post yake..!
Kwakweli pamoja na mapungufu yote ambayo binadam wanayo na mfumo wowote unayo, CCM ni chama cha demokrasia ya kweli, kwa kukubali kukosolewa na kujirekebisha, mazingira yananionyesha CHADEMA kingekuwa madarakani kisengeruhusu kusemwa hv kama CCM inavyotoa uhuru wa kukosolewa na Rais Kikwete anatufundisha tuvumiliane mpaka tutakapozoea kusema na kusemwa.
Ushahidi ni jinsi tu mwenyekiti Mbowe anavyopingwa kwenye kikao na Zitto na kumtumia Lema kumshambulia Zitto, je siku wakiwa ikulu atakubali magazeti ya mpinge?
kama CCM inakubali kukosolewa, walimfanya nini:-
1: Mzee Abdu Jumbe
2: Horace Kolimba
3: Walimkosakosa Nape na Sitta
4:...
Kuna ccm-mtandao I; ccm -mtandao II; ccm-itikadi; ccm-magamba; au ccm-nusu kaputi Ni ccm ipi hasa inajiunga nayo Tumaini letu🙂
Breaking News: CHITANDA ATEMA CHECHE
Habari toka TBC Taifa zimemrekodi Mh. Chatanda kuwa vijana wa CCM wanaufinyu wa mawazo na kuona mbali. Kwahiyo hakuna watakachowezafanya.
Mwenye kiti wa UVCCM arusha Mh. Millya akasema chitanda lazima ang'oke.
My take.
KUmbe CCM vijana awaoni mbele, Chukua hatua.
Unasumbuliwa na elimu ndogo ya uraia hata hujui maana ya mfumo wa vyama vingi. Nyie ndo mnapigwa mawe, acha mawazo ya ukasuku na ulamba viatu be a man ie. Kuwa mwanaumeKwakweli pamoja na mapungufu yote ambayo binadam wanayo na mfumo wowote unayo, CCM ni chama cha demokrasia ya kweli, kwa kukubali kukosolewa na kujirekebisha, mazingira yananionyesha CHADEMA kingekuwa madarakani kisengeruhusu kusemwa hv kama CCM inavyotoa uhuru wa kukosolewa na Rais Kikwete anatufundisha tuvumiliane mpaka tutakapozoea kusema na kusemwa.
Ushahidi ni jinsi tu mwenyekiti Mbowe anavyopingwa kwenye kikao na Zitto na kumtumia Lema kumshambulia Zitto, je siku wakiwa ikulu atakubali magazeti ya mpinge?