Nimeamua kugive up lakini naumia....

Pole sana, lakini usikubali kua mtumwa wa penzi ,kwani raha penzi nikupendana nyote,vp wewe upende na vyako akulie wakati kukupenda hakupendi na wala hathamini penzi lako? ebu jiulize unakasoro gani?
 
He story inasikitisha ,,pole sana.jamani mapenz ingekuwa yanahukumiwa basi siku.zote yangebeba lawama ya.guilt ,, ,, yaan kesi kama hizo zipo sana stahamili m.mungu hamtupi mja wake ,, utapata atakae futa chozi lako

Dear kumbe umeshafika huku? Kha kwa kuzurura sikuwezi.
 
pole sana FB,...nakusifu kwa kuwa ulimpenda sana sophy na ulikuwa na malengo nae ila yeye akulitambua hilo na kama alilitambua basi moyoni mwake hukuwemo na alichojuwa ulikuwa umemzimikia balaa hivyo alichofanya ni kukuumiza tu na kula vyako..na kwa uelewa wangu huyo sophy alikuwa na bwana wengi hii ni kutokana na maelezo yako au alikuwa na mtu aliyekuwa anampenda sana hivyo hakutaka ajue ...mimi sdhani mtu kama anakupenda kwa dhati atashindwa kuja kwako ,vilivile kwanini alikuwa na mashaka mashaka unapokwenda kumtembelea mpaka anakutoa mida mibaya wewe kama mwanaume ulitakiwa kufikiria hilo...lakini jipange mzazi ilikuwa sio riziki utapata msichana wa kweli mwenye mapenzi ya dhati ........vilevile unajua madada wengi wanapoona wanapendwa na watu wanaowazidi elimu wengi wao hufikiria kwamba tunawadanganya hivyo hujiweka katika mazingira ya kutojiamini na kufikiria kwamba wao ni kuwapita tu .but do"t give up ...kitu kingine kwa kuwa umeshakuwa mwasirika wa mapenzi itapotokea umempata msichana mwingine usimwonyeshe umempenda mpaka ukapitilza hata kama kweli una mpenda sana kwani akigundua hivyo atakuumiza sana ....vilevile kwenye suala la mapenzi usipende kujipandisha na kujionesha matawi jioneshe katika hali ya kawaida kiuchumi hii itakusaidia kujua yupi ana mapenzi ya kweli na yupi mzugaji...ni hayo tu FB.....
 
pole sana mkubwa....ila mi naona kwa girlz..kabla hujamkubali mtu ni bora kujihakiki moyo wako kama unampenda kweli..kuliko kuumizana!kuwa na idadi kubwa ya wapenzi co vzr....
kwa ushauri wangu..mwache kwa muda kwanza bila mawasiliano naye..ili atambue umuhimu wako!!anafanya hayo sababu haoni shida kukuumiza!tulia kwa muda bila kuwa na mpenzi mwingine...kila kitu ni tym...tym itaongea!!!pole lakini.....
 
Wanaume wenzio siku hizi wameshashtuka, hawajionyeshi wamependa mpaka wanakuwa mapoyoyo.. Hata kama ume fall lazima uwe ngangari na uwe na maamuzi kama mwanaume kamili bana... vinginevyo utafanywa ***** mpaka ushangae..! Wanawake hatupendi mwanaume wa kulia lia kila siku oooh nakupenda, oooh, I cant live without you..! MUWAGE MNAKUWA MAKAUZU MUONE KAMA TUTAWAACHA..!
 
The world is rarely the way it is suppose to be. and given the chance, we don’t have to wait for someone to make messes of our lives. we do a good enough job ourselves




 
FB kwani tatio ni nini?

pole mwaya. chombo kizamishe tu. kwanini ugaregaze P yako kwa mtu mjinga? tena Gf??? lol! miye siafiki labda mke ama mume lakin nje ya hapo ni stendi ya daladala wengine wanashuka wangine wanapanda ama basi linatoka basi linaingia.
 
mh pole,
jipe muda, najua ni ngumu
mm huwa naandika hata poem or lyk story, naandika kila nnachotaka kusema mpaka na matus kama najisikia kutukana, naimba, natembea, yaan fanya kitu chochote kile unachopenda jichanganye na friends ambao watakuchangamsha, chitchat nayo inahusu, pitia hata huko kwenye jokes, hakikisha upo bussy kila wakati usipate tym ya kumfikiria,,,,,.
jisamehe na umsamehe pia, hyo itakuweka huru,,,,

All the best, mi ilinisaidia hope it will kwako as well..................
 
pole sana FB moja ya vitu vinavyoumiza ni mapenzi mimi mwenyewe niliwahi kua na msichana alikua na tabia kama hizo na alinipelekesha sana na nilikuwa namnyenyekea sana hata tukigombana kwenye simu nilikua nasafiri mpaka Iringa Ruaha University kuomba msamaha yaani from Dar to Iringa hata mara mbili kwa mwezi na bado alizidi kuonyesha manyanyaso na nilikua nampa vitu vyangu kibao ikiwemp Pesa.Digital camer na laptop yangu bado akija mjini anafanya shopping na nilikua namlipia lakini alikua hana upendo na mimi alinifanyia mengi sana siwezi kuyaandika yote hapa at the end nilipiga moyo konde nikamuacha na mimi niko fresh na nina furaha mpaka ameshaanza kuwa ananitumia sms na mimi namjibu shortcut sina time naye tena
 
DAWA ALIYOKUWEKEA ILIKOLEA VIZURI SANA. kama hauaminni, sibiri ikiisha muda wake unaweza kumchukia utaenda hadi kumpiga ngumi...haya mambo yapo, kuna wanawake wanapakaa kwenye k, ukimgusa tu au akiamua kukutegea utampenda hadi utakuwa kipofu anaweza hata ukamfumania lakini hautamfanya chochote utaendalea naye tu. haiji kichwani mtu mnayependana anaficha simu, anafuta calls au msg, mimi hapo tu ningemwaga manyanga,..kwasababu singejua anawasiliana na nani na wanawasiliana nini, kama wanapanga njama za kunichuna hadi niwe masikini je? kama wanapanga njama za kunitoa kafara, kama ana mume wake kabisa yuko nmasomoni? naamini hata humu ndani kuna wanaume mabwabwa kama wewe ambao mpenzi wake anaweza kuwakataza wasishike simu na akiongea anafuta calls au akiona msg anasoma alafu anafuta,...mwanaume halisi huwezi kuendeshwa hivyo...hakuna alichokuwa amekipenda toka kwako, hata sita kwa sita hukumridhisha wewe....alikuwa na mtu mwingine moyoni mwake ambaye alimpenda, wewe ulikuwa mwanaume wa vocha na pesa za saluni tu.....acha ujinga, mfute kabisa kichwani...kupenda gani huko?
 
Huyo usipomwacha atakuacha yeye.
Wenzio husoma harama za nyakati na kuwahi kabla hawajawahiwa.

Hakuna kitu kibaya kama kuachwa ni bora uanze wewe hata kama unampenda vipi kwa sababu nakuhakikishia atakuja kuku suprise atakapokwambia it's over.

Si kila anayemwach girl/boy friend inakuwa penzi limeisha, ila kuna wanaogundua hakuna future na wamependa wasipopendwa. Maumivu yanakuwa madogo ukilinganisha na kuachwa. kwa sababu na yeye atakuwa anaugulia kivyake hiyo tu itakupa faraja.
 
Pole sana Mkuu. Hiyo ya kuumia baada ya kuvunjika uhusiano wako na yule uliyempenda sana ni kitu cha kawaida kabisa na kinatokea kwa wengi tu. Huyu binti alikuwa ana mambo yake pembeni ambayo hakutaka uyafahamu hivyo ndio maana alikuwa msiri sana na pia hakutaka ufike kwake nyakati fulani fulani ili usimuharibie mambo yako.

Kwa maoni yangu uamuzi uliochukua wa kuvunja mahusiani ni mzuri sana au ungekuja kupata machungu makali sana kuliko haya ya sasa. Vuta subira mpaka pale utakapoona uko tayari kuingia kwenye mahusiano mapya maana sasa hivi hutakuwa unamtendea haki huyo mgeni kwani wakati mwingi bado utakuwa unamuwaza huyo mcharuko.


 
Wenzio husoma harama za nyakati na kuwahi kabla hawajawahiwa.

Napata shida sana jinsi wengine wanavyoyatafsiri mapenzi..
From day 1 naona huyu gal hakuwa na mpango naye FB..
Ifike wakati tuwe wajanja tangu mwanzo ili kupunguza kulialia kama hivi..
 
Kati ya afya yako na yeye nani borah...?fananisha hv 2 + future yako thn jibu utalipata,acha kujifanya mfilipino......mapenzi ya kwnye movies achana nayo huko huko .....msikilize adelle .....neva mind i 'll find some1 lyk uu,i wish nothng bt the best 4 u...endelea mwenyewe au kama nimzee wa sinema kama mimi nenda ukamwimbie hiyo song thn atasanda menyewe au uktaka song lngne xema nkuambie koz zko a lot ambazo ukiwaimbia dadaz wenyewe wanakaaaa .............
 

hahahah hahahah mkuu nimeipenda hii.
 
Dah! tafuta kimeo kingine ww huyo hakufai .......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…