Nimeamua kuchukua maamuzi magumu sana

Nimeamua kuchukua maamuzi magumu sana

We kila kinachofanywa unakifurahia? Haiwez tokea kimoja ukakwazwa? Pale unapokwazwa ukajikuta umetamka au kuandika kwa hali ile ya kukwazwa si ndo utaenda lipa mil 7??

Nakwazwa lakini nikifikiri kuzingirwa naona ngoja niende mdogomdogo maana bado sijakamilisha majukumu ya kuwepo duniani
 
Haijakatazwa kutoa maoni...Ila kutukana au lugha za kukashifu ndio haifai
 
Hahaha. Ukikosoa bila kukashifu hata Mahakamani utashinda
 
Kwani siku hizi ukiandika sms whatsap si huwa wanakuletea kasma kao kuwa charting yako ni safe haiwez dukuliwa? Sasa mbona watu wanafungwa?

Swis social netwk sio rafiki kwa sasa sepa mapema urud 2025
visasi vingine.

swissme
 
Heri kukaa kimya kuliko kuwapaka viongozi mafuta Kwa mgongo Wa chupa...ndio maana nimeamua kuwa kunguru Wa zanzibar
 
Attachments

  • 203261.jpg
    203261.jpg
    7.7 KB · Views: 27
Angalia itv sahiz
Nami nimeangalia ITV muda huu, nimeona namna hao wabunge wa CCM walivyoonyesha kutoridhishwa na maamuzi ya mahakama, kwa kudai kuwa yule kijana aliyepatikana na hatia ya kumkashifu Rais, eti hakupaswa kupewa option ya kulipa faini.

Cha ajabu zaidi Waziri Mwakyembe ni kama amewaunga mkono wabunge wenzake wa CCM na akaahidi atakuja na msimamo wa serikali kuhusiana na suala hilo.

Kwa mazingira ya utawala katika awamu hii ya 5, ni Kama vile utawala wa kuzingatia separation of power, kati ya Executive, Judiciary na Legislature, ni kama hauzingatiwi kabisa, kwa kuwa hivi sasa Executive (Baba Jes.. Ca) ndiyo imekuwa juu ya hiyo mihimili mingine hiyo miwili....
 
Baba....baba....baba...hujipendi eeeeh? Chunga mdomo wako baba

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Siku zote mwanaharakati ni MTU wa mbele kwa mbele haijalisha vikwanzo vilivyopo uko mbele lengo kupigania haki za watu wengine, Tunakuhitaji sana sana kutoa mchango wako kwa wana jamii please come back don't running the problems it's not way to solve the problems.
 
Baba...baba.......baba maisha nayo ni matam sana ukumbuke....familia zinatutegemea ujue.....tukivumilia miaka 10 hii sio mingi ila tu 2020 au 2025 tusirudie kosa
 
Me naamini hakuna binadam asiyekosea sasa navyoona baba nanihii akikosea hataki tuseme anataka tunyamaze na mimi siwez kunyamaza na ili kuepusha shari ni kukaa sehem salama na sehemu salama ni kukimbia jera mzee
baba akijamba mbele ya watoto wake lazima mmoja ajitokeze kusema amejamba yeye. sasa na wewe baba akijamba kimbilia joho haraka sema umejamba wewe.
 
baba akijamba mbele ya watoto wake lazima mmoja ajitokeze kusema amejamba yeye. sasa na wewe baba akijamba kimbilia joho haraka sema umejamba wewe.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom