Ni wakati wa Rais Magufuli kuchukua maamuzi magumu kwa maslai ya Taifa

izzo

JF-Expert Member
May 31, 2015
2,812
6,409
Kwa tulipofikia ni wakati wa JPM kutangaza na kuongoza kwa Presidential Decrees, kwani angeweza kutanganza State of emergency lakini hii itafanya kuzorota kwa ukuaji wa uchumi na maendeleo kwani nchi itakuwa chini ya amri ya jeshi so hyo si nzuri lakini hii ya Presidential Decrees inafaa sana kwa tulipo fikia

Tanganyika tumekuwa kama kambale yani wote baba , mama na watoto wote wana ndevu. Hakuna taifa duniani ambalo limepitia kwenye maendeleo ya kweli kila mtu akawa ni mchambuzi , msemaji na mkosoaji nchi zote zimepitia kwenye maamuzi ya wachache na ndio maamuzi ya mwisho mfano Ujerumani , Uingereza , Marekani ,China ,Singapore, Malaysia nchi zote zimepitia mfumo huu kwa miaka mingi ndio Democracy ya kweli ikafikiwa lakini pamoja na hayo leo Trump anapata tabu katika utawala wake lakini China bado maamuzi ya wachache yanafanya kazi na maendeleo na ukuaji wa uchumi wa China ni makubwa sana

Tanganyika ndio bado tunakwenda kwenye maendeleo leo tunataka tuwe na democrasia kama ya Ulaya au US na wakati nchi hizo mpaka kufikia hapo wamepitia miaka zaidi ya 200 sisi tunataka kila mtu kusema chochote tu , tukiacha tabia hii itafikia wakati watu wataanza kupinga kwa nini Mwanza au Bukoba wanajengewa barabara na si Moshi au Arusha haiwezekani hata kidogo lazima kuwe na mtu akisema bhasi wengine wote tufate duniani jeshi ndio taasisi inayoongoza kwa heshima, utii na uzalendo yote haya ni matunda ya kufata order na kutii order kwani jeshini ni kutii na kufata order tu .Lakini leo jeshini wangepewa uhuru wa kuchagua au kupinga order nadhani jeshi ndio ingekuwa taasisi ambayo ingekuwa ngumu kutawala na wanajeshi ndio wangekuwa wababe kuanzia mitaani na ingekuwa ni vurugu tu kwenye makambi ya jeshi na mitaani kwani ni ukweli usiopingika kuwa jeshi ni taasisi inayoogopwa hata na wenye madaraka na fedha

Kitendo cha kuacha watu waseme wanavyotaka na kutukana tunakwenda kutengeneza taifa la kambale ambalo hakuna heshima kwani wote wanandevu kama leo unaweza kumtukana matusi ya nguoni mtu mwenye Jeshi,Police ,Tiss ambae anauwezo wa kukuweka ndani na hakuna wa kuhoji wala kupinga amri yake je utamuheshimu baba yako anayekupa ugali tu nyumbani ? na kama tabia hii itaachwa inakwenda kuharibu mpaka misingi ya heshima kwa jamii na familia

Ni wakati wa Serikali kuchukua hatua kali sana na njia pekee ni JPM kuongoza kwa Presidential Decrees tu kwa miaka 10 then turudishwe kwenye mziki wetu wa kawaida leo Mange ndio kawa kama vile DG wa TISS mtu watu wanamwamini utadhani Mungu ukiuliza kuna ukweli gani wa taarifa hii jibu ni "Si Mange amesema"

Najua hatua hii ya Presidential Decrees inaweza kuzalisha wakimbizi wa kisiasa kutoka Tanzania lakini ni bora kuwa na wakimbizi wa kisasa kuliko kuacha mzimu huu ukiendelea kukua na kujikita mizizi hapa Tanzania

Tusipo chukua hatua Tanganyika inakwenda kuwa taifa la kambale Baba,Mama na watoto wote wanandevu

Tayali mambo ya Ukabila yameshaanza kuchipua kwenye hili jeshi ambalo kambi zake ni nyuma ya keybold na keypad kesho wataanza na kwa nini hospital kubwa kujengwa Lindi wakati wanachangia asilimia ndogo kwenye GDP kwa nini hospitali hyo ingejengwa Arusha ,Mwanza, DSM tunapochangia pato kubwa kwa nchi
 
Ache wehu wewe nchi hii inaendeshwa Kwa katiba na wala sio presidential degree zako, kimsingi anatakiwa aongoze nchi kwa mujibu wa katiba
 
Kwa tulipofikia ni wakati wa JPM kutangaza na kuongoza kwa Presidential Decrees, kwani angeweza kutanganza State of emergency lakini hii itafanya kuzorota kwa ukuaji wa uchumi na maendeleo kwani nchi itakuwa chini ya amri ya jeshi so hyo si nzuri lakini hii ya Presidential Decrees inafaa sana kwa tulipo fikia

Tanganyika tumekuwa kama kambale yani wote baba , mama na watoto wote wana ndevu. Hakuna taifa duniani ambalo limepitia kwenye maendeleo ya kweli kila mtu akawa ni mchambuzi , msemaji na mkosoaji nchi zote zimepitia kwenye maamuzi ya wachache na ndio maamuzi ya mwisho mfano Ujerumani , Uingereza , Marekani ,China ,Singapore, Malaysia nchi zote zimepitia mfumo huu kwa miaka mingi ndio Democracy ya kweli ikafikiwa lakini pamoja na hayo leo Trump anapata tabu katika utawala wake lakini China bado maamuzi ya wachache yanafanya kazi na maendeleo na ukuaji wa uchumi wa China ni makubwa sana

Tanganyika ndio bado tunakwenda kwenye maendeleo leo tunataka tuwe na democrasia kama ya Ulaya au US na wakati nchi hizo mpaka kufikia hapo wamepitia miaka zaidi ya 200 sisi tunataka kila mtu kuseme chochote tu , tukiacha tabia hii itafikia wakati watu wataanza kupinga kwa nini Mwanza au Bukoba wanajengewa barabara na si Moshi au Arusha haiwezekani hata kidogo lazima kuwe na mtu akisema bhasi wengine wote tufate duniani jeshi ndio taasisi inayoongoza kwa heshima, utii na uzalendo yote haya ni matunda ya kufata order na kutii order kwani jeshini ni kutii na kufata order tu .Lakini leo jeshini wangepewa uhuru wa kuchagua au kupinga order nadhani jeshi ndio ingekuwa taasisi ambayo ingekuwa ngumu kutawala na wanajeshi ndio wangekuwa wababe kuanzia mitaani na ingekuwa ni vurugu tu kwenye makambi ya jeshi na mitaani kwani ni ukweli usiopingika kuwa jeshi ni taasisi inayoogopwa hata na wenye madaraka na fedha

Kitendo cha kuacha watu waseme wanavyotaka na kutukana tunakwenda kutengeneza taifa la kambale ambalo hakuna heshima kwani wote wanandevu kama leo unaweza kumtukana matusi ya nguoni mtu mwenye Jeshi,Police ,Tiss ambae anauwezo wa kukuweka ndani na hakuna wa kuhoji wala kupinga kwa amri yake je utamuheshimu baba yako anayekupa ugari tu nyumbani ? na kama tabia hii itaachwa inakwenda kuharibu mpaka misingi ya heshima kwa jamii na familia

Ni wakati wa Serikali kuchukua hatua kali sana na njia pekee ni JPM kuongoza kwa Presidential Decrees tu kwa miaka 10 then turudishwe kwenye mziki wetu wa kawaida leo Mange ndio kawa kama vile DG wa Tiss mtu watu wanamwamini utadhani Mungu ukiuliza kuna ukweli gani wa taarifa hii jibu ni "Si Mange amesema"

Najua hatua hii ya Presidential Decrees inaweza kuzalisha wakimbizi wa kisiasa kutoka Tanzania lakini ni bora kuwa na wakimbizi wa kisasa kuliko kuacha mzimu huu ukiendelea kukua na kujikita mizizi hapa Tanzania
Unaelewa nini tunapo sema political development?? Hayo mnayo yataka nyie msio na elimu karne yake ilisha pita ila nashangaa kuona bado mpo nyuma kimawazo.
 
Kumbuka wakimbizi wa kisiasa wakienda huko ulaya wanapewa mafunzo ya kijeshi na silaha bure. Tafakari kilichotokea huko uarabuni. Ila kujenga jamii inayoheshimiana nalo ni jambo la msingi katika taifa. Tutafute njia muafaka kwa kuchangia ideas.

Na washawasha!
 
Kwa tulipofikia ni wakati wa JPM kutangaza na kuongoza kwa Presidential Decrees, kwani angeweza kutanganza State of emergency lakini hii itafanya kuzorota kwa ukuaji wa uchumi na maendeleo kwani nchi itakuwa chini ya amri ya jeshi so hyo si nzuri lakini hii ya Presidential Decrees inafaa sana kwa tulipo fikia

Tanganyika tumekuwa kama kambale yani wote baba , mama na watoto wote wana ndevu. Hakuna taifa duniani ambalo limepitia kwenye maendeleo ya kweli kila mtu akawa ni mchambuzi , msemaji na mkosoaji nchi zote zimepitia kwenye maamuzi ya wachache na ndio maamuzi ya mwisho mfano Ujerumani , Uingereza , Marekani ,China ,Singapore, Malaysia nchi zote zimepitia mfumo huu kwa miaka mingi ndio Democracy ya kweli ikafikiwa lakini pamoja na hayo leo Trump anapata tabu katika utawala wake lakini China bado maamuzi ya wachache yanafanya kazi na maendeleo na ukuaji wa uchumi wa China ni makubwa sana

Tanganyika ndio bado tunakwenda kwenye maendeleo leo tunataka tuwe na democrasia kama ya Ulaya au US na wakati nchi hizo mpaka kufikia hapo wamepitia miaka zaidi ya 200 sisi tunataka kila mtu kuseme chochote tu , tukiacha tabia hii itafikia wakati watu wataanza kupinga kwa nini Mwanza au Bukoba wanajengewa barabara na si Moshi au Arusha haiwezekani hata kidogo lazima kuwe na mtu akisema bhasi wengine wote tufate duniani jeshi ndio taasisi inayoongoza kwa heshima, utii na uzalendo yote haya ni matunda ya kufata order na kutii order kwani jeshini ni kutii na kufata order tu .Lakini leo jeshini wangepewa uhuru wa kuchagua au kupinga order nadhani jeshi ndio ingekuwa taasisi ambayo ingekuwa ngumu kutawala na wanajeshi ndio wangekuwa wababe kuanzia mitaani na ingekuwa ni vurugu tu kwenye makambi ya jeshi na mitaani kwani ni ukweli usiopingika kuwa jeshi ni taasisi inayoogopwa hata na wenye madaraka na fedha

Kitendo cha kuacha watu waseme wanavyotaka na kutukana tunakwenda kutengeneza taifa la kambale ambalo hakuna heshima kwani wote wanandevu kama leo unaweza kumtukana matusi ya nguoni mtu mwenye Jeshi,Police ,Tiss ambae anauwezo wa kukuweka ndani na hakuna wa kuhoji wala kupinga kwa amri yake je utamuheshimu baba yako anayekupa ugali tu nyumbani ? na kama tabia hii itaachwa inakwenda kuharibu mpaka misingi ya heshima kwa jamii na familia

Ni wakati wa Serikali kuchukua hatua kali sana na njia pekee ni JPM kuongoza kwa Presidential Decrees tu kwa miaka 10 then turudishwe kwenye mziki wetu wa kawaida leo Mange ndio kawa kama vile DG wa TISS mtu watu wanamwamini utadhani Mungu ukiuliza kuna ukweli gani wa taarifa hii jibu ni "Si Mange amesema"

Najua hatua hii ya Presidential Decrees inaweza kuzalisha wakimbizi wa kisiasa kutoka Tanzania lakini ni bora kuwa na wakimbizi wa kisasa kuliko kuacha mzimu huu ukiendelea kukua na kujikita mizizi hapa Tanzania
Dunia bado kuna watu hawajapata Uhuru wa mawazo..pole sana
 
Ningekuona wa maana na unaakili isiyo na ubinafsi endapo ungesema tubadili katiba ili teuzi zipungue kwa rais na kuwe na mamlaka za kuwajibisha wateuliwa endapo wanakiuka losiww chini ya rais peke yake, wewe huon sasa hivi wakurugenzi wana watunishia misuli wakuu wa mikoa na wilaya kana kwamba hakuna bosi wa mwenzie hapo kati yao maana wote ni wateuliwa?? Kwa sasa hakuna kitakacho tekelezwa isipo kwa kauli ya rais mwenyewe , wewe ulivyo n akili ndogo mambo ya msingi huyaona unaonahayo matusi unayo dai , mwehu kweli
 
Kwa tulipofikia ni wakati wa JPM kutangaza na kuongoza kwa Presidential Decrees, kwani angeweza kutanganza State of emergency lakini hii itafanya kuzorota kwa ukuaji wa uchumi na maendeleo kwani nchi itakuwa chini ya amri ya jeshi so hyo si nzuri lakini hii ya Presidential Decrees inafaa sana kwa tulipo fikia

Tanganyika tumekuwa kama kambale yani wote baba , mama na watoto wote wana ndevu. Hakuna taifa duniani ambalo limepitia kwenye maendeleo ya kweli kila mtu akawa ni mchambuzi , msemaji na mkosoaji nchi zote zimepitia kwenye maamuzi ya wachache na ndio maamuzi ya mwisho mfano Ujerumani , Uingereza , Marekani ,China ,Singapore, Malaysia nchi zote zimepitia mfumo huu kwa miaka mingi ndio Democracy ya kweli ikafikiwa lakini pamoja na hayo leo Trump anapata tabu katika utawala wake lakini China bado maamuzi ya wachache yanafanya kazi na maendeleo na ukuaji wa uchumi wa China ni makubwa sana

Tanganyika ndio bado tunakwenda kwenye maendeleo leo tunataka tuwe na democrasia kama ya Ulaya au US na wakati nchi hizo mpaka kufikia hapo wamepitia miaka zaidi ya 200 sisi tunataka kila mtu kuseme chochote tu , tukiacha tabia hii itafikia wakati watu wataanza kupinga kwa nini Mwanza au Bukoba wanajengewa barabara na si Moshi au Arusha haiwezekani hata kidogo lazima kuwe na mtu akisema bhasi wengine wote tufate duniani jeshi ndio taasisi inayoongoza kwa heshima, utii na uzalendo yote haya ni matunda ya kufata order na kutii order kwani jeshini ni kutii na kufata order tu .Lakini leo jeshini wangepewa uhuru wa kuchagua au kupinga order nadhani jeshi ndio ingekuwa taasisi ambayo ingekuwa ngumu kutawala na wanajeshi ndio wangekuwa wababe kuanzia mitaani na ingekuwa ni vurugu tu kwenye makambi ya jeshi na mitaani kwani ni ukweli usiopingika kuwa jeshi ni taasisi inayoogopwa hata na wenye madaraka na fedha

Kitendo cha kuacha watu waseme wanavyotaka na kutukana tunakwenda kutengeneza taifa la kambale ambalo hakuna heshima kwani wote wanandevu kama leo unaweza kumtukana matusi ya nguoni mtu mwenye Jeshi,Police ,Tiss ambae anauwezo wa kukuweka ndani na hakuna wa kuhoji wala kupinga kwa amri yake je utamuheshimu baba yako anayekupa ugali tu nyumbani ? na kama tabia hii itaachwa inakwenda kuharibu mpaka misingi ya heshima kwa jamii na familia

Ni wakati wa Serikali kuchukua hatua kali sana na njia pekee ni JPM kuongoza kwa Presidential Decrees tu kwa miaka 10 then turudishwe kwenye mziki wetu wa kawaida leo Mange ndio kawa kama vile DG wa TISS mtu watu wanamwamini utadhani Mungu ukiuliza kuna ukweli gani wa taarifa hii jibu ni "Si Mange amesema"

Najua hatua hii ya Presidential Decrees inaweza kuzalisha wakimbizi wa kisiasa kutoka Tanzania lakini ni bora kuwa na wakimbizi wa kisasa kuliko kuacha mzimu huu ukiendelea kukua na kujikita mizizi hapa Tanzania
Kweli kenge ni kenge tu
 
Hakuna cha presidential decree wala nn kama CCM mmeshindwa kuendesha inchi bwageni manyanyanga wengine waongoze. Akili za kutaka kuturudisha enzi za ukoloni wa wagerumani ni akili za kijinga.
 
Unaelewa nini tunapo sema political development?? Hayo mnayo yataka nyie msio na elimu karne yake ilisha pita ila nashangaa kuona bado mpo nyuma kimawazo.
Siasa na democrasia hayo ni mambo ya kuletewa kutoka Ulaya na America na mwenyewe mpaka leo bado hawajafikia 100% katika misingi ya kisiasa na democrasia pamoja na kuanza jambo hili muda mrefu zaidi ya miaka 200 iliyopita

Leo watu weusi wa Africa ambapo mmeanza siasa na democrasia japo ya uongo na kweli kwenye miaka ya 1980 - 1990 mnataka kulingana na walioanza siasa kwenye karne ya 19 pia unatakiwa ufahamu na uelewa wa mambo kwa watu weupe na wausi ni tofauti sana
 
Back
Top Bottom