Kutokana na matukio mawili ya vijana kufikishwa mahakamani kwa kumuongelea vibaya baba nanihii basi nadhani muda wa kujiondoa kwenye mitandao hii umefika
Kwa sababu mimi nikikerwa na jambo ni mgumu sana kukaa kimya lazima nitoe dukuduku popote iwe kwa kuandika ama kuongea
Sasa kama mpaka kwenye charting zetu za whatsap na private tunakaguliwa na kukamatwa basi nadhani nitawahi sana kushikwa nisipojitoa huko maana ni mara nyingi tumekuwa tukijadiliana mienendo ya nchi yetu kwenye group zetu za whatsap kama la wafanyakazi,wafanyabiashara vijana mpaka yale ya kisiasa ni ngumu kujikuta hamjajadili tukio likitokea sasa pale ulipokwazwa na utendaji wa mzee ukajikuta umeandika kwa hasira si ndo kesho mahakaman ukatoe mil 7
Nikitoa mil 7 sasa hivi si ndo mwanzo wa kufilisi kabiashara kangu kenyewe kalikodolora tangu mwaka huu uanze?
Hapana ili kuwa salama najitoa rasmi
Nyie ndg zangu endeleeni kuwepo ila ntaendelea kuwaona kwenye taarifa ya habari mmeshtakiwa
Kuna siku utakuta unachart na mshikaji wako " mwanangu umemsikia anko..... alichofanya leo?" We ukajibu " huyu mzee baba ......" kesho ukajikuta jera
Ahsanteni kwa kwaherini