Nimeamua kuanza kujifunza computer programming (back end development)

Lodrick Thomas

Verified Member
Jan 24, 2017
1,342
2,000
Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza!! Nimeamua kwa moyo mmoja kuanza jifunza programming na sasa nimeanza na PHP katika back end!!

Naombeni ushauri wenu, je nisome vipi ili niweze kui master hii language? Je ili niwe developer mzuri nini nisome nini baada ya hii php??

Je soko la php kwa bongo likoje??

Je ni challenge zipi programmers mnzipata kwenye kazi zenu za kila siku?

NB: Napenda computer na Malengo yangu ni kuijua php na web development kwa ujumla!!

Na nna basics za css na html.

Karibuni kwa mawazo yenu katika hii safari kujifunza!
 
Isack Michael

Senior Member
Jan 12, 2017
122
225
Mkuu kwa hapo ulipofikia angalia wapi unataka! Je front end au back end development!? Ukishapata jibu unaendelea!!

Ila jitahidi kufanyia mazoezi hizo languages mbili kwanza kabla huja move sehemu ingine!! Kila la kheri
Na shukuru sana kwa ushauri wako naomba pia unieleweshe juu ya hizo front end na back end developmen
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
14,846

Zote ni kama branches za web development...kutengeza websites!!

Front end..
Huyu ana deal na mwonekano wa mbele wa website...kupanga maneno...animations...kwa kifupi ni kile ambacho wewe user unakiona ndicho anacho anachofanya front end web developer!!
Ili kuwa front end web dev unahitaji kujua css ..html...na javascript!

Back end developer
Huyu yeye anafanya ambayo wewe user huwezi yaona!! Wanadeal sana databases ..servers...hawa ndio wanafanya website ina operate!! Ili kuwa back end dev unahitaji kujua languages kama php ... Python/django...rubby on rails and the alike!! Sio lazima ujue zote hata moja inatosha!

Nb: Hapa unaweza kuwa fit kwenye photoshop au illustrator pamoja na basics za css na html ukawa web designer!
 
Na nikitaka kusoma javascript nianzeje?
 
Graph

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
2,751
2,000
Najua Php programmers watachukia kusikia hili ila mkuu angusha Php, iweke pembeni uipotezee kwa sasa, unaweza irudia baadaye ikitokea unaihitaji sana.

Umeanza HTML -> CSS -> ?
Your next step naona should be JavaScript.
Sasa kwa nini JavaScript?

1. Kama web developer ni lazima uijue kwa kua ndiyo language pekee inayotumika kweye front-end, yaani huwezi kuikwepa la si hivyo usijiite web developer.

2. Ukiimaster vizuri utaweza kuitumia kwenye backend pia, kuna Node.js ambayo inatumika kutengeneza server, ni pure JavaScript, na tukilinganisha na Php, iko faster zaidi ya 100 times kwenye benchmarks kibao. Ni rahisi pia kutengeneza server very fast kwa Node.js kuliko Php, naongea kama mtu ambaye ni advanced in both, hii najua some people might try to attack me ila ukweli ni ukweli.

3. JavaScript ina ecosystem kubwa sana, kuna React Native framework ambayo ni pure JavaScript, hii unaweza tengeneza mobile apps zinazorun kwenye iOS, Android na later Windows, kwa kutumia codebase moja, na uzuri wa hii framework ukilinganisha na nyingine ni speed, React Native apps zinakimbia kwa speed balaa sawa na zile zilizoandikwa kwa Java au Swift.

So uende hivi HTML -> CSS -> JavaScript -> Database system (MySQL recommended)
Kumaster JavaScript kutahitaji muda mrefu na determination ya kutosha, ila it does pay off well. Php sio language mbaya, ila there's something better out there, sioni sababu ya kuhangaika na Php.

Sema pia ningekushauri kusoma general purpose language kama Java, C++ hizi zitakufundisha mambo mengi yanayofanyika ndani ya computer ambayo yatakuasidia sana in general kua developer mzuri, ukienda kichwa kichwa hutojua jinsi memory inavyofanya kazi, unavyoaccess data kama ni efficient au hapana, ndiyo maana kuna software nyingine zinaenda polepole balaa na nyingine zinakimbia. Hakuna kitu cha muhimu kwenye programming kama kujua "Data Structures na Algorithms" hizi courses mbili zinafunga kila kitu, ndipo utofauti wa serious software developer na amateur unapoonekana.
 
Sasa kabla sijaanza kusoma javascript ndo nisome kwnza c++ au?
 
Isack Michael

Senior Member
Jan 12, 2017
122
225
Basi anza kusoma javascript kwa njia ya vitabu, online tutuorials na e-books vile vile unaweza pitia hapa patakufaa sana kama ukipafuatilia kwa umakini w3schools.com
Je ni vitabu gani naweza nikavitumia na ni namna gani naweza nikajifunza ili niwe vizuri ata pia ili niwe vizuri zaidi kwenye html na css?
 
Graph

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
2,751
2,000
Sasa kabla sijaanza kusoma javascript ndo nisome kwnza c++ au?
Sio lazima, komaa na JavaScript kwanza, C++ piga baadaye la si hivyo utachukia programming mapema sana au hata kukata tamaa ukidhani haujui kitu, C++ ni moja ya languages complex sana hata experts inawaumiza, kutumia kama first language itakutoa jasho.

Au njia bora zaidi.
Tafuta course inaitwa CS50 ya harvard ipo bure youtube na itunes, soma C maana yenyewe itakufundisha low level stuffs lakini haina complications kama za C++, ukisoma part ya C ukamaliza utakua na mwanga mkubwa, rudi sasa endelea na JavaScript.
 
Graph

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
2,751
2,000
Dah nahisi kama nazidi kuchanganyikiwa.....
Hehehe mwanzo mgumu, itafika muda utaelewa ufanye nini, sasa hivi ndiyo upo kwenye stage ya kujaribujaribu mambo kibao bila kujua unafanya nini, wote tumeipitia hiyo.
 
  • Thanks
Reactions: Dae

Isack Michael

Senior Member
Jan 12, 2017
122
225
Hehehe mwanzo mgumu, itafika muda utaelewa ufanye nini, sasa hivi ndiyo upo kwenye stage ya kujaribujaribu mambo kibao bila kujua unafanya nini, wote tumeipitia hiyo.
nashukuru mungu sana nimepata watu wanawo nipa moyo na kunielekeza nashukuruni sana
 
Manchris Jbisd

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
693
500
Sasa huku ndo sababu kuu ya jamii forum. No bullshit. Kueleweshana na kujadiliana.
This is civilization.

Ahsante. Na mimi nimejifunza.
 
reguly solver

Senior Member
Dec 29, 2016
122
225
nikiwa km mwanafunz mtarajiwa wa hii course ya IT nimefaidika jpo cjui kitu ht kidogo na cjaanza bt shukran kwa wote wadau
 
reguly solver

Senior Member
Dec 29, 2016
122
225
Karibu sana mkuu
bt mkuu bdo naangalia kipi chuo kitakachoo nifaa na chenye sifa ya utoaji mzur I mean kwa ma teacher wazur iv chuo gan niende na chitaj vyuo maarufu sana bt nahitaj chenye kutoa elim bora ..ni wap mkuu nipate kwenza udahil ukianza
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
14,846
2,000
bt mkuu bdo naangalia kipi chuo kitakachoo nifaa na chenye sifa ya utoaji mzur I mean kwa ma teacher wazur iv chuo gan niende na chitaj vyuo maarufu sana bt nahitaj chenye kutoa elim bora ..ni wap mkuu nipate kwenza udahil ukianza
Kwanza unataka kujiunga level gani?? Diploma au degree au certificate?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom