Nimeamua kuachana na CHADEMA na kurudi CCM

Eti nahamia ccm!

Hama na familia yako mtumwa m.p.umba v.u wewe!

Acha kupotosha jamii yetu!
 
Wapambe wa chama cha kichaga ni watoto kiakil angalien hata posts zao..na wengi wanafata mkumbo vingi nadhan ndo vinajifunza nw mambo ya social network vinadanganywa vinachekelea..na ndo maana ID zao haziwatambulish maana wanaogopa aibu ya kushindwa.
 
ahaa wapi C.H.A.S.A.K.A!hoja hafifu zenye mtazamo hasi,bisha shaka wewe ndio mdini na mkabila,hapo unatumia uhuru wako kikatiba sijui ulipojiunga na Chadema kama ulitoa bandiko kama hili.CUF,NCCR,TLP,UDP navyo ni vyama vya siasa,
 
mbona mzozo ni chadema na ccm tu,ss ndo tuone kuwa hatujui siasa,kilichokutoa ccm kwenda chadema ni nn?,na ss unarudi ccm hunajipya ni sawa na mfa maji...,ni bora ungehamia chama kingine.hujakomaa kisiasa na huo ni uchu wa kutaka power.
 
Teh teh, magamba bwana, mmepiga kiongozi wa umma wa kiislamu sheikh issa ponda, mnahangaika kwa hoja za kuunga unga! Ccm mwaka 2015 kura mtapewa na makuwadi wa ufisadi na hao mapolis ccm wenu!
 
Ndoto nzuri kijana.
 
Chama hiki kimekuwa hakina shukrani kabisa nchi hii na wala uzalendo kwa taifa ndio maana katibu mkuu mzee Slaa anaiunga mkono Rwanda

Kila kizuri cha Kikwete au CCM lazima CHADEMA wakitie kasoro,chama cha CHADEMA kinajulikana vizuri sana ni chama
kinachofadhiliwa na vyama vya makanisa ya Ujerumani na Denmark, hatujaona hata siku mija CHADEMA kinawasiliana na nchi za kiislamu duniani.mimi ni mchaga na sifurahikii kabisa na mipango ya CHADEMA wanavyofanya najua wakija kupata Urais wa nchi hii basi vitu viwili vikubwa vitatokea vita vya dini na ukabila na ndivyo CHADEMA wanavyoelekea.

kumtukana JK si kwa sababu ni mpinzani wao bali ni kwa sababu ni muislam mbona mkapa alivyokuwa anatawala CHADEMA wala vyama vingine walikuwa hawamtukani? kwa sababu ni mkristo? au kuna jingine?

wala CDM hahitaji kuwa na mwanachama kama wewe, watu na wabaguzi wa dini kama ulivyojidhihirisha wewe CDM siyo mahali pake.
 
Wapambe wa chama cha kichaga ni watoto kiakil angalien hata posts zao..na wengi wanafata mkumbo vingi nadhan ndo vinajifunza nw mambo ya social network vinadanganywa vinachekelea..na ndo maana ID zao haziwatambulish maana wanaogopa aibu ya kushindwa.

Hii ID yako inakutambulisha kama nani?
 
Chama hiki kimekuwa hakina shukrani kabisa nchi hii na wala uzalendo kwa taifa ndio maana katibu mkuu mzee Slaa anaiunga mkono Rwanda

Kila kizuri cha Kikwete au CCM lazima CHADEMA wakitie kasoro,chama cha CHADEMA kinajulikana vizuri sana ni chama
kinachofadhiliwa na vyama vya makanisa ya Ujerumani na Denmark, hatujaona hata siku mija CHADEMA kinawasiliana na nchi za kiislamu duniani.mimi ni mchaga na sifurahikii kabisa na mipango ya CHADEMA wanavyofanya najua wakija kupata Urais wa nchi hii basi vitu viwili vikubwa vitatokea vita vya dini na ukabila na ndivyo CHADEMA wanavyoelekea.

kumtukana JK si kwa sababu ni mpinzani wao bali ni kwa sababu ni muislam mbona mkapa alivyokuwa anatawala CHADEMA wala vyama vingine walikuwa hawamtukani? kwa sababu ni mkristo? au kuna jingine?

We ndio zuzu kabisa na upeo wako unaishi kuangalia dini za watu na kabila. Hapa hatutaki watu wanaotoa maoni yao kwa ushabiki wa dini au kabila lao. cdm walipoanika ufisadi wa Mkapa wewe ulikuwa wapi?
 
Wee ndugu yangu hama kimya kimya,acha propoganda za udini si ujanja huo ni ujinga wa kukumaliza wewe mwenyewe
 
Kuna uhusiano wa karibu sana kati ya avatar yako, jina lako na maoni yako.
 
Chama hiki kimekuwa hakina shukrani kabisa nchi hii na wala uzalendo kwa taifa ndio maana katibu mkuu mzee Slaa anaiunga mkono Rwanda

Kila kizuri cha Kikwete au CCM lazima CHADEMA wakitie kasoro,chama cha CHADEMA kinajulikana vizuri sana ni chama
kinachofadhiliwa na vyama vya makanisa ya Ujerumani na Denmark, hatujaona hata siku mija CHADEMA kinawasiliana na nchi za kiislamu duniani.mimi ni mchaga na sifurahikii kabisa na mipango ya CHADEMA wanavyofanya najua wakija kupata Urais wa nchi hii basi vitu viwili vikubwa vitatokea vita vya dini na ukabila na ndivyo CHADEMA wanavyoelekea.

kumtukana JK si kwa sababu ni mpinzani wao bali ni kwa sababu ni muislam mbona mkapa alivyokuwa anatawala CHADEMA wala vyama vingine walikuwa hawamtukani? kwa sababu ni mkristo? au kuna jingine?

MODs naomba muweke na kitufe cha dislikes pia, ninaki-miss sana!
 
"mimi ni mchaga"

Kwa hiyo?, inahusiana nini na kichwa cha habari?

"kumtukana JK si kwa sababu ni mpinzani wao bali ni kwa sababu ni muislam"

Naomba unithibitishie juu ya hii kauli yako.

Na kaa ukijua watu hawabishani kwa udini wala ukabila toa hoja kushawishi wana jamii na si kurukaruka tu pasipo kueleweka.
 
:Cry:
Chama hiki kimekuwa hakina shukrani kabisa nchi hii na wala uzalendo kwa taifa ndio maana katibu mkuu mzee Slaa anaiunga mkono Rwanda

Kila kizuri cha Kikwete au CCM lazima CHADEMA wakitie kasoro,chama cha CHADEMA kinajulikana vizuri sana ni chama
kinachofadhiliwa na vyama vya makanisa ya Ujerumani na Denmark, hatujaona hata siku mija CHADEMA kinawasiliana na nchi za kiislamu duniani.mimi ni mchaga na sifurahikii kabisa na mipango ya CHADEMA wanavyofanya najua wakija kupata Urais wa nchi hii basi vitu viwili vikubwa vitatokea vita vya dini na ukabila na ndivyo CHADEMA wanavyoelekea.

kumtukana JK si kwa sababu ni mpinzani wao bali ni kwa sababu ni muislam mbona mkapa alivyokuwa anatawala CHADEMA wala vyama vingine walikuwa hawamtukani? kwa sababu ni mkristo? au kuna jingine?

Dhambi ya udini italiangamiza TAIFA hili!! hata kama unapokea buku 7 hukustaili kuweka uzi huu,Udini unaosema hauko kwanza jiridhishe na maoni yako lengo nini?
 
Back
Top Bottom