Jkt nitapoteza muda tu kule ,kazi hamna.
Hiyo inakuwaje mkuu,na mtaji unakuwaje?Labda kuuza vitu online mfano viatu, urembo wa kike, mikoba nk
DAMN! IF I WAS ABLE TO RESCUE YOU FROM THIS ONE, I WOULD BRO.. BE STRONG WITH PATIENCE GOD WORKS IN MYSTERIOUS WAYS. MUNGU MPAJI.Ninajitokeza mbele yenu kijana mwenye umri wa miaka 26 .
Elimu yangu ni chuo japo nimesitisha kwa muda kutokana na changamoto za kimaisha.
Makazi yangu dar,
Jinsia yangu ya kiume.
Sina tatizo lolote la kiafya .
Ninajitokeza mbele yenu kuomba nafasi ya kazi ili angalau nipate visenti kadhaa niweze kuendelea na masomo yangu .
Safi sana mkuu,na ni vitu gani hasa vinahitajika sana?Mtaji ni kiasi chochote ulichonacho hata elfu 20 unaanza,unanunua kitu let say kariakoo unakipiga picha unapost mtandaoni kutafuta wateja .