Nimeamua Ku postpone masomo kutafuta ajira.

Naja naja

JF-Expert Member
Sep 13, 2016
747
1,452
Ninajitokeza mbele yenu kijana mwenye umri wa miaka 26 .

Elimu yangu ni chuo japo nimesitisha kwa muda kutokana na changamoto za kimaisha.

Makazi yangu dar,

Jinsia yangu ya kiume.

Sina tatizo lolote la kiafya .

Ninajitokeza mbele yenu kuomba nafasi ya kazi ili angalau nipate visenti kadhaa niweze kuendelea na masomo yangu .
 
Safi Sana jibu murua.. Mkuu kwann usilime mboga mboga.. Andaa mazingira hata nje ya dar kidogo chanika huko tenga kaeneo Anza kulima na kupanda michicha tembele spinach.. Uwe unamwagilia huko chuo hutotamani kurudi utajaitwa freemason.. Tuta moja la mchicha linaeeza toa vichenga 250 hadi 600 kutegemea ukubwa.. Soko lake halisumbui mboga mboga dar ni shida nyingi zinatoka mazingira mabovu kama bonde la msimbaz chukulia bei ya jumla 300 ila ipo above ya hapo tajwa kwa vichenga 800 kwa siku ni 240000 hata ukiuza kwa siku Tatu hiyo idadi bado upo mbali mkuu fursa hiyo komaa nayo
Jkt nitapoteza muda tu kule ,kazi hamna.
 
Ajira ni changamoto mkuu,kama una wazo linalolipa na linahitaji mtaji mdogo,weka mezani tujadili
 
Ninajitokeza mbele yenu kijana mwenye umri wa miaka 26 .

Elimu yangu ni chuo japo nimesitisha kwa muda kutokana na changamoto za kimaisha.

Makazi yangu dar,

Jinsia yangu ya kiume.

Sina tatizo lolote la kiafya .

Ninajitokeza mbele yenu kuomba nafasi ya kazi ili angalau nipate visenti kadhaa niweze kuendelea na masomo yangu .
DAMN! IF I WAS ABLE TO RESCUE YOU FROM THIS ONE, I WOULD BRO.. BE STRONG WITH PATIENCE GOD WORKS IN MYSTERIOUS WAYS. MUNGU MPAJI.
 
Back
Top Bottom