Nimeamka Tumbo linanisumbua sana

Nimeamka Tumbo linanisumbua sana

Hebu weka picha unavyojishika hizo korodani tujue ma-Dr tunakusaidiaje..!!
Jitahidi picha iwe HD
 
Habari wanajamvi, najua mmekesha na kusubiri mkeka wa wagombea. Ila naomba kuwapa swali kidogo: nikiwa najisaidia haja ndogo halafu nikijishika korodani, tumbo linaanza kuniuma sana. Tatizo nini?
Eleza sababu kwanini ulijishika korodani?
 
Habari wanajamvi, najua mmekesha na kusubiri mkeka wa wagombea. Ila naomba kuwapa swali kidogo: nikiwa najisaidia haja ndogo halafu nikijishika korodani, tumbo linaanza kuniuma sana. Tatizo nini?
Hilo ni chango
 
Kama upo mjini fika kwa masai wakupe dawa chap na zinafanya kazi hatari achana na dawa za hospital utajua Figo au sio
 
Yan ushike tu korodan tumbo lianze kuuma sana? Aisee hii kesi yako ni ya kipekee sana..!
 
Habari wanajamvi, najua mmekesha na kusubiri mkeka wa wagombea. Ila naomba kuwapa swali kidogo: nikiwa najisaidia haja ndogo halafu nikijishika korodani, tumbo linaanza kuniuma sana. Tatizo nini?
Polee asee.. Vipi ukijishika unazikuta zote au kuna ambayo inapotea?.. Na ukiwa hauna haja ndogo hali inakuaje? .. Likely kama una hernia sema maelezo yako hayajitoshelezi.. 🤔
 
Habari wanajamvi, najua mmekesha na kusubiri mkeka wa wagombea. Ila naomba kuwapa swali kidogo: nikiwa najisaidia haja ndogo halafu nikijishika korodani, tumbo linaanza kuniuma sana. Tatizo nini?
Muscle cramps dalili za ngiri. Hunabudi kuchukua hatua mapema kupata matibabu.
U got more than one options:-
Mitishamba, conventional medicine, prana and energy things (metaphysical).
Nimebobea kwenye mitishamba. Je , unahitaji huduma?
if xo pm sasa.
 
Back
Top Bottom