Nimeamka Tumbo linanisumbua sana

Nimeamka Tumbo linanisumbua sana

Abdull hameed

Senior Member
Joined
Jan 29, 2025
Posts
111
Reaction score
206
Habari wanajamvi, najua mmekesha na kusubiri mkeka wa wagombea. Ila naomba kuwapa swali kidogo: nikiwa najisaidia haja ndogo halafu nikijishika korodani, tumbo linaanza kuniuma sana. Tatizo nini?
 
Habari wana jamvi najua mumekesha na kusubiri mkeka wa wagombea ila naomba kuwapa swali kdg nikiwa najisaidia haja ndogo hlf nikijishika korodani tumbo linaanza kuniuma sana tatizo nini?
Jaribu kujisaidia na haja kubwa, halafu tuone kama litendelea kukuuma.
 
Muulize umri wake Mkuu... Humu watoto wa 2010 wamekua wengi sana siku hizi..
Kubinywa Korodani hua ni moja ya mateso kwa wahalifu ili wataje wenzao au wataje siri walizonazo,
Sasa yeye anajishika korodani halafu anashangaa tumbo kuuma!

Dawa ni kuacha kujishika Korodani tu.
 
Kubinywa Korodani hua ni moja ya mateso kwa wahalifu ili wataje wenzao au wataje siri walizonazo,
Sasa yeye anajishika korodani halafu anashangaa tumbo kuuma!

Dawa ni kuacha kujishika Korodani tu.
Jamaa akapime hizi ni dalili za magonjwa kwenye njia ya mkojo au ana uvimbe kwenye korodani
 
Punguza kujichua inawezekana umemaliza grisi yote ya kwenye korodani gololi zinagongana
 
Back
Top Bottom