EL ELYON
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 1,675
- 2,115
Kimsingi nimeamini watanzania sisi bado sana, watu tunalalamika kazi hakuna na tumesoma. Lakini nimeshangaa sana jana nimeweka tangazo la kazi watu wa electricity installation watu 20, nikaweka na mawasiliano lakini mpaka sasa nna watu watatu tu, lakini bado kuna watu wako home na tangazo wameliona but wanapuuza, tanzania ajira zipo sema watanzania hatutafuti, tumekaa tu home, kingine ambacho nimegundua waajiri wengi wanataka sana watu wenye certificate au diploma, watu wa degree kweli wanapata shida sana, maofisi mengi wamejaa watu wa certificate na diploma tu, haya kwa mara nyingine mwenye hiyo fani anicheki 0755914977