Nimeamini watanzania sisi bado sana

Nimeamini watanzania sisi bado sana

Kimsingi nimeamini watanzania sisi bado sana, watu tunalalamika kazi hakuna na tumesoma. Lakini nimeshangaa sana jana nimeweka tangazo la kazi watu wa electricity installation watu 20, nikaweka na mawasiliano lakini mpaka sasa nna watu watatu tu, lakini bado kuna watu wako home na tangazo wameliona but wanapuuza, tanzania ajira zipo sema watanzania hatutafuti, tumekaa tu home, kingine ambacho nimegundua waajiri wengi wanataka sana watu wenye certificate au diploma, watu wa degree kweli wanapata shida sana, maofisi mengi wamejaa watu wa certificate na diploma tu, haya kwa mara nyingine mwenye hiyo fani anicheki 0755914977
Wenye sifa za Shahada wengi huwa sio watendaji, wao mara nyingi wanawaza uongozi, lini watakalia kiti cha mkuu wake wa kazi....

Kuhusu kutojitokea kwa waomba ajira, pengine wenye fani hiyo hawajaliona hilo tangazo au kama wameliona vigezo vya uzoefu ni kikwazo.....
 
Kwanza ujue hizo fani zina watu wachache kwa hiyo usitegemee utapata watu wengi wengi wana michongo yao wanafanya pia ungekuwa specific kazi gani wanaenda kufanya au kampuni gani may ungetoa motisha

Pia mkoa gani na eneo gani?
 
Mbona hamniambiiiiiiiiii wakuu

Wanakuzngua tu hao mkuu. Temana nao! Siku zote ngozi nyeupe haina longo longo kama hii yetu "Black people in the new world" wanatangaza kazi for geresha kumpe wameishamuweka tayari chaguo lao bila hata ya usahili.
 
Back
Top Bottom