Nimeamini Wanawake hawakopeshwi pesa

Nimeamini Wanawake hawakopeshwi pesa

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,606
Aisee nchi hii ni ngumu sana. Wanawake wengi wana njaa kali. Always mwanamke hutaka kuwa na pesa wakati wote. Mwanamke hapendi kujitesa.

Kuna mdada naheshimiana nae sana. Ni best friend tu. Sijawahi kuwa nae mahusiano maana heshima ni 100 %.

Mwaka jana February alinikopa hela kiasi cha TZS Million 1 aongezee mtaji afungue Saloon kwa makubaliano anirudishie baada ya miezi 3. Mwanaume nikajikamua nikampatia. Shit!

Anazingua na kiswahili kila kukicha. Halafu mbaya zaidi simu zangu anarespond vizuri tu.Ila kwenye kufunguka anipe pesa zangu.

Kuna wakati anakuwa kama ananitaka kimapenzi indirectly. Mm sitaki maana hana mvuto kabisa.

Nifanyeje jamani ili mwanamke anirudishie pesa yangu?
 
Hapo mkazie tu ukiruhusu kuwa nae kimapenzi ndo mzigo utapotea hivyo
 
We nae ni Zoba tu wacha upigwe tu,, unakopeshaje mtu akaanze biashara tena ya salon na return iwe muda mfupi hvyo!??
 
Hapana hiyo nafikiri ni hulka ya mtu binafsi, maana kuna wanaume pia wakikukopa sahau kulipwa. Tena anaweza kuanza kukujibu shit hadi ushangae why hela yako ikutese.
 
Kama angekuwa na mvuto ungepiga na kuachana na hilo deni !!???
 
Kama hamku andikishana sahau. Mfumue linda tu angalau uambulie.yalisha nikuta hayo
 
Nimoja ya changamoto ndugu ya kukuludisha nyuma kimaendeleo. Mshukru mungu tu kwa kila jambo pengine huwezi jua kumbe ndo kimbilio lako la badayee.
 
Aisee nchi hii ni ngumu sana. Wanawake wengi wana njaa kali. Always mwanamke hutaka kuwa na pesa wakati wote. Mwanamke hapendi kujitesa.

Kuna mdada naheshimiana nae sana. Ni best friend tu. Sijawahi kuwa nae mahusiano maana heshima ni 100 %.

Mwaka jana February alinikopa hela kiasi cha TZS Million 1 aongezee mtaji afungue Saloon kwa makubaliano anirudishie baada ya miezi 3. Mwanaume nikajikamua nikampatia. Shit!

Anazingua na kiswahili kila kukicha. Halafu mbaya zaidi simu zangu anarespond vizuri tu.Ila kwenye kufunguka anipe pesa zangu.

Kuna wakati anakuwa kama ananitaka kimapenzi indirectly. Mm sitaki maana hana mvuto kabisa.

Nifanyeje jamani ili mwanamke anirudishie pesa yangu?
Hata sisi mkuu mimi wife alinipa hela mpka kesho simpi
 
Balaa saaana!Nimemsamehe wa humu humu pia,kaishia kuniblock tu!!Maisha kweli magumu
 
Aisee nchi hii ni ngumu sana. Wanawake wengi wana njaa kali. Always mwanamke hutaka kuwa na pesa wakati wote. Mwanamke hapendi kujitesa.

Kuna mdada naheshimiana nae sana. Ni best friend tu. Sijawahi kuwa nae mahusiano maana heshima ni 100 %.

Mwaka jana February alinikopa hela kiasi cha TZS Million 1 aongezee mtaji afungue Saloon kwa makubaliano anirudishie baada ya miezi 3. Mwanaume nikajikamua nikampatia. Shit!

Anazingua na kiswahili kila kukicha. Halafu mbaya zaidi simu zangu anarespond vizuri tu.Ila kwenye kufunguka anipe pesa zangu.

Kuna wakati anakuwa kama ananitaka kimapenzi indirectly. Mm sitaki maana hana mvuto kabisa.

Nifanyeje jamani ili mwanamke anirudishie pesa yangu?
Yamenikuta hayo sina hamu na wadada
 
Fungua kesi ya madai katika Mahakama ya Mwanzo mnako ishi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom