Nimeamini wanaume ni wabinafsi

Tofautisha ubinafsi na usiri.

Mwanamke ndiye mwenye asili ya ubinafsi.
 
Bado uchanga wa mapenzi, unajua mapenzi yana stage kama 5 nyie mko ya pili,......ikifika stage ya 5 mambo ya fb instagrm mara picha unaona ni ujinga tu.

Mkuu mimi nishavuka mishale mingi nimekomaa ingekuwa zaMani nahisi ningekuwa kama yule mwenye uzi wa kuchoma nguo za mpnz wake
 
Kuweni makini na maradhi,kama bado hamjaoana msifikirie kuoana kwani maisha ya ndoa huwa tofauti na hizi drama zenu za sasa na huko kwenye ndoa mkikaribisha ibilisi basi tayari hakuna ndoa!!

Hii sentence yako mkuu nilishamwambia hadi yeye Maradhi maradhi …. TunapimanA kila tukikutanaa

Na kwa kazi anayofanya afya yake ndio mtaji wake hope yupo makini
 

Faraaaaaaaaa eeeee[emoji23]
 
Labda nimekua sugu zamani ilikuwa nikichetiwa siwezi kula hata siku 3 now nakula mbele yake….
Bado kuna vingi vitakuja toka kwako...maana itakupa kujiamni zaidi hata ikibidi upate "kidumu" kujipa good time or else kuna vitu vitapungua kwake ingawa wajipambanua unampenda.
 
Ukiona kuna jambo tunauliza jua tunamajibu yake tayari huwa tunapima uadilifu wenu

NB:Mwanaume hadanganywi kama unahudumiwa vizuri funika kombe mwanaharamu apitwe hatuchunguzwi utakufa bure

[emoji23][emoji23]umbea tu umeniponzaaaa na nyie Msiwe mnatupa simu zenu
 
Hii sentence yako mkuu nilishamwambia hadi yeye Maradhi maradhi …. TunapimanA kila tukikutanaa

Na kwa kazi anayofanya afya yake ndio mtaji wake hope yupo makini
Kama mmefikia hapa as if watu walio single under same roof....kuna vingi vitaibuka hapo mbele I na you will never hold on anymore...
 
Bado kuna vingi vitakuja toka kwako...maana itakupa kujiamni zaidi hata ikibidi upate "kidumu" kujipa good time or else kuna vitu vitapungua kwake ingawa wajipambanua unampenda.

Alikuwa kidumu ila kawa official so kwake sipindui labdaa yeye azingueee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…