kitali
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 6,275
- 9,584
One's umeingia kule we ni reserve my friend. Kikinuka nyie ndio wa kwanza kuitwa.Mkuu mimi sio mwanajeshi ile ilikua kwa mujibu.

Wanakuchukua wewe wanakubrash fasta tofauti na Mimi mpaka waanze upya. Anyway ukiwa kijana wewe tayar ni Askari kwa nchi yako usijaliThubutuu..! Siendi yaani nikapigane vita kwa skills gani nilizonazo
Dah nimesoma kwa umakini nikidhani kuna maajabu!Mdogo wangu mzuri,
Kamwe usiweke Imani kwa kiumbe hai aitwaye mwanadamu, iwe wa kike ama kiume, kuwa 'dissapointed' ni suala la kugusa tu..!!
Katika watu waaminifu Duniani ni wanaume labda huyo mmoja baba CatheHabari!
Nimekutana na mkasa ambao umenifanya niamini wanaume sio watu wa kuwaamini 100%
Mimi ni mtu ambae muda mwingi najifungia ndani, lakini ikitokea nimekua mpweke sana huwa napendelea kwenda kwa jirani mwenye nyumba inayofuata baada ya kwetu.
Tumeshakua ni washkaji japo yeye ni mtu mzima kiasi, ana mume na watoto watano. Ila mimi na yeye tunaongea lugha moja. Mshkaji wangu namwita Mama Cathe. Anapendana sana na mume wake familia yao ni bora yenye upendo, kuwaona wamekumbatiana na mume wake ni jambo la kawaida sana.
Nipo karibu nae nimejua baadhi ya mambo, mume wake huwa anarudi kila siku mchana kula, mama Cathe huwa anamsubiri mchana ili wale wote saa 9.
Kwa jinsi wanavyopendana usiku wanaweka msosi nje wanakula mume, mke na watoto kulishana ni jambo la kawaida. Siku zote ninavyowachora mume anampenda sana mkewe, nilikua naona hawezi hata kumsaliti, hata michepuko haijui. Nilikua naamini kuna wanaume ni waaminifu na huyu Baba Cathe nilimuweka kundi hilo kwa jinsi wanavyoishi.
Juzi asubuhi mama kanituma nikanunue mahitaji, natembea zangu kwenye uchochoro mpana nikasikia mtu ameniita 'Ephen!' nikageuka nyuma. Nakutana na Baba Cathe akaniambia 'Nilikuona wakati unatoka nikasema nikufate sababu kila siku navizia nafasi ya kuongea na wewe lakini siipati, kwani unaenda wapi?'
Mpaka hapo nikawa nimeshangaa sikutegemea hii kauli kutoka kwake, hapo anaongea kimahaba
Huyu mzee nilikua namuheshimu sana....Nikamwambia naelekea dukani.
Akasema 'basi naomba namba yako siku yoyote naweza kukupigia tukutane sehemu X, huwa unanivutia sana nahitaji tuongee zaidi' nikamjibu sina simu
Alarm ikalia kichwani kwangu kua ule uchochoro yeyote anaweza kutokea ikawa kesi, sikumjibu nikageuka nikaendelea na safari yangu. Mimi nipo mbele yeye nyuma hapo natembea chap niumalize uchochoro akawa anaongea maneno ambayo siwezi kuyaandika hapa.
Nikamaliza uchochoro na yeye nahisi huku nyuma aligeuza, muda wote nikawa najiuliza huyu mzee kapatwa na nini?
Kilichonishtua ni jana nimekaa kibarazani na mkewe mida ya mchana, karudi mke wake akasimama kumkumbatia, huyu mzee akanikonyeza. Namuona anakuja kwa kasi!
Wanaume wote kumbe wanacheat.....!
AnalyseHabari!

🤣🤣Inawezekana shepu yako inahatarisha ndoa ya jirani![]()
Mkuu ntakuweka ignore list sawa acha uhuni wa dislike
We jamaa umerudi tena na ule upumbavu wako, amka uende church kama huna la maana kuchangia mitandaoni.
Ni vibaya sana na anatakiwa apigwe banned kwa Nini ana dislike hovyo hovyoKwani mtu akitoa dislike ni vibaya?😂
Mimi ananichosha maneno yake, mambo yake halafu ukizingatia ni kijana mdogo
😂😂😂😂😂Kumbe kudislike hovyo humu ni kosa! Itakua kweli sababu jana kuna mtu kapigwa ban kisa alicomment emoji za kucheka zikajaza page 1 yote😂
kinyonyoWe jamaa umerudi tena na ule upumbavu wako, amka uende church kama huna la maana kuchangia mitandaoni.
Tupeane utamu basi 😛😛 nataka nikulambe kipapa hichoKwani mtu akitoa dislike ni vibaya?😂
Mimi ananichosha maneno yake, mambo yake halafu ukizingatia ni kijana mdogo
😁😂😂😂😂😂😂
Kijana alikuwa msumbufu sana huyo acha apewe Haki yake anavunja sana Sheria za humuUlisema kweli dislike nyingi unakula ban😂