Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,211
- 99,970
Kwani Huko nje tunatembea na wanaume? Si ni wanawake pia??Wanaume tuoneeni huruma
Kwani Huko nje tunatembea na wanaume? Si ni wanawake pia??Wanaume tuoneeni huruma
Njoo nikufanye uwe mke wa kwanza 😎Sawa napokea hizo lawama
Siwezi kuolewa mke wa pili mimiii
We si ulisema huwezi kufa kwaajili yake?? 🤣🤣🤣Yaan hapo uduguu utakua umecheza km Pele.
![]()
Mimi hata sinaAcheni kutufata...
Anything from you mrembo. You will be the one and only. Nifungulie moyo huo 😊Nahitaji atakayenifanya mke/mwanamke peke yangu na sio mke/mwanamke wa kwanza kwamba utaleta mwingine wa pili, tatu....
Sasa mbona unaruka sarakasi, umevaa tight ndani? 😅😅Kwenye moyo wangu upo wewe🤸♀️
Muongo, hebu tuone 😎Nimevaa tight ya pink
Equation x naomba uniwekee ile emoj ya yule mdada anacheza mziki mchumba anioneMuongo, hebu tuone 😎
Sioni kosa la baba Catherine,anakupenda, kupenda hakuna idàdi.unaweza kuwapenda hata kumiHuyo ni sterling....yaani hapo mkewe hatokaa agundue labda siku alete Kaswende nyumbani
Wewe ni emoji? 😅Equation x naomba uniwekee ile emoj ya yule mdada anacheza mziki mchumba anione
Utapeli huu 😀Nimevaa tight ya pink
Ananitega kama alivyomfanyia Baba CatheUtapeli huu 😀