Dah! Huyu mwamba, kanishangaza sana.Wengi wako hvyo,wanakariri sana namba
Huenda kurahisisha matumizi.Sasa anasave za nini?
Muda WA kusearch phone book si anakuwa ashaandika?Huenda kurahisisha matumizi.
😁😁😁Sasa anasave za nini?
Hili nadhan mhusika ndo ana majibu zaidi.Muda WA kusearch phone book si anakuwa ashaandika?
Hahahaaha......Huyo alikosa fursa ya kwenda Shule tu kutokana na mazingira na mitihani ya maisha.Wakuu salaam,
Kuna mwamba ni mfanya biashara, hajui kusoma wala kuandika, japo katika hesabu za pesa huwezi mpunja.
Hivi karibuni alipoteza sim, sasa juzi kanipa simu yake mpya nimjazie namba, alichonishangaza zaidi ya namba 20 na majina, kataja toka kichwani.
Hakika nimeamini, ukipewa kilema unapewa na mwendo.
Hata mtu mfupi huwa machachari sana kujihami🤣Wengi wako hvyo,wanakariri sana namba
Umeniwahi....nikitaka niulize hivohivoSasa anasave za nini?
Hakika, binafsi nimekariri namba yangu pekee.Hahahaaha......Huyo alikosa fursa ya kwenda Shule tu kutokana na mazingira na mitihani ya maisha.
Huyo ndio Pure Inteligent
Watu wa aina hii wanakipaji cha pekee.Ukishindwa kutumia phonebook. Wewe ndo unakuwa phonebook.
Una ugomvi na watu wafupi mkuu?Hata mtu mfupi huwa machachari sana kujihami
Huo msemo, haumaanishi hivo.Sasa kukosa elimu ni kilema?