makundubhyali
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 2,389
- 886
Hivi na wewe ni binadamu kweli naona kama hujitambui.Nina zaidi ya mwezi hapa nilipo kanda ya ziwa sijaona taarifa ya habari ya saa mbili usiku. Kila siku umeme unashinda ila ikifika saa moja na robo wakati wa taarifa ya habari ya Channel 10 ambayo pia hucherewa kuonyesha habari za kampein wanakata umeme, kwa hiyo huwa nawahi kuangalia taarifa ya ITV saa 12 asubuhi. Sasa wameanza mtindo wa kukata umeme wakati wa kusomwa taarifa hiyo na wanarudisha umeme mara taarifa inapokwisha . Je kwa ratiba hiyo TANESCO haitumiki kisiasa ?! CCM kwa mtindo huu tegemeeni kukosa kura zaidi kuliko, kwani mnatia hasira sana.
Nina zaidi ya mwezi hapa nilipo kanda ya ziwa sijaona taarifa ya habari ya saa mbili usiku. Kila siku umeme unashinda ila ikifika saa moja na robo wakati wa taarifa ya habari ya Channel 10 ambayo pia hucherewa kuonyesha habari za kampein wanakata umeme, kwa hiyo huwa nawahi kuangalia taarifa ya ITV saa 12 asubuhi. Sasa wameanza mtindo wa kukata umeme wakati wa kusomwa taarifa hiyo na wanarudisha umeme mara taarifa inapokwisha . Je kwa ratiba hiyo TANESCO haitumiki kisiasa ?! CCM kwa mtindo huu tegemeeni kukosa kura zaidi kuliko, kwani mnatia hasira sana.
Mkuu wakati TANESCO wanatangaza uzalishaji wa umeme kuimaliza adha ya kukatiwa taarifa za habari ndo inazidi!!tena wanarudisha immediatly baada ya taarifa kwishaHilo ni jambo kubwa sio Tanesco tu hata watumishi wa Serikali wa Sekta tofauti tofauti hii ni aibu huwezi lazimisha mawazo ya mtu
Mkuu watu wengi sana wamepata hasira hasa akina mama kwani mara nyingi wanakata usiku saa ambazo akina mama wanaandaa maakuli, kwa kweli mwaka huu CCM hawataamini kitakachowakuta.CCM ni janga la Taifa.Mbinu zao hizi zinazolitia Taifa hasara zimefikia ukingoni. Bado wiki tano tu.
Mkuu nashukuru kwa matusi yako tutajua tu nani binadamu baada ya tarehe 25/10. Ukiona mtu anatuka wakati hujamtukana jua mtu huyo ka......................Hivi na wewe ni binadamu kweli naona kama hujitambui.
Endelea kupiga posho za Ukawa ndo unachokiweza tu humu njaa itakuua mwaka huu.Nina zaidi ya mwezi hapa nilipo kanda ya ziwa sijaona taarifa ya habari ya saa mbili usiku. Kila siku umeme unashinda ila ikifika saa moja na robo wakati wa taarifa ya habari ya Channel 10 ambayo pia hucherewa kuonyesha habari za kampein wanakata umeme, kwa hiyo huwa nawahi kuangalia taarifa ya ITV saa 12 asubuhi. Sasa wameanza mtindo wa kukata umeme wakati wa kusomwa taarifa hiyo na wanarudisha umeme mara taarifa inapokwisha . Je kwa ratiba hiyo TANESCO haitumiki kisiasa ?! CCM kwa mtindo huu tegemeeni kukosa kura zaidi kuliko, kwani mnatia hasira sana.
Dua la kuku haimpati mwewe, we endelea kupiga posho tu za Ukawa lkn hapa ni kazi tuuuMkuu watu wengi sana wamepata hasira hasa akina mama kwani mara nyingi wanakata usiku saa ambazo akina mama wanaandaa maakuli, kwa kweli mwaka huu CCM hawataamini kitakachowakuta.
And vice versa is trueOct 25 ndo mwisho wao
Weka usahidi kuthibitisha hilo kijana kama huna we endelea kula posho za ukawa zilizokuweka hapo ulipo.Mkuu wakati TANESCO wanatangaza uzalishaji wa umeme kuimaliza adha ya kukatiwa taarifa za habari ndo inazidi!!tena wanarudisha immediatly baada ya taarifa kwisha
Posho inakuhusu , wewe huli chakula wala kwenda chooni mpaka Ukawa wakupe hela ndo unachokiweza hicho, endelea kijana njaa itakuua mwaka huuCCM ni janga la Taifa.Mbinu zao hizi zinazolitia Taifa hasara zimefikia ukingoni. Bado wiki tano tu.
Posho inakuhusu , wewe huli chakula wala kwenda chooni mpaka Ukawa wakupe hela ndo unachokiweza hicho, endelea kijana njaa itakuua mwaka huu