Ni uhalisia ... ila hakuna namna mkuu. Maisha yaendelee...Jf jukwaa kama hili ni la kupata good time na kucheka. Ila mada zingine zinadhihirisha jinsi dharau inavyoanzishwa ndani ya ndoa. Ndio maana hata wake kwa waume wa watu hucheat maana hata walioshuhudia hiyo ndoa wanasema hii ni sherehe tu hakuna agano hapo. Yaani ex hujakumdharau atakayekuja kukuoa au kuolewa na wewe maana ana free access pass na wewe bila shida nasi twajivunia kuwa ni mwamba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Dunia simama nishuke! twaharibu msingi tukitegemea mjengo mzuri uko mbele[emoji23][emoji23]. Tukaiga na dating kumbe lengo ni kuchezeana kwa ngono kabla ya majukumu. Hii mada imemdharaulisha mwanamke kwakumweka kuwa ni cheap product na pia imemdharaulisha mwanaume kwakuwa huyo kidume anayeoa huyo ex wako ni fala kwakuwa yeye kapewa umamlaka na heshima hewa ila wakiamua kukuharibia ndoa wanakuharibia. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] vijana tunasafari ndefu. Mama wa mtoto wako kukanyagwa kama tambala bovu kisa ni ex ni fedheha[emoji23][emoji23][emoji23] ila finally uzeeni, mwanamke na mwanaume wote hulia na kujijutia. Heshima ni kitu kikubwa acha. Let's enjoy life.
Hiyo dawa nafahamu nishawahi itumia kipindi kile ni kali unaona mauza uza na ndoto za ajabu ukinywaPharmacy vipo mkuu!! Lakini hata mahospitalini sokuizi vipo wanagawa bure kabisa mkuu.
We ukienda nenda Kule CTC (Kitengo cha Tiba na Matunzo) mtafute nesi yoyote.
Mwambie naomba HIV- SELF TEST.
lakini pia, natamani niwape elimu juu ya dawa Inaitwa PREP, hii inatolewa huko huko CTC, inasaidia Sana kukukinga Usipate ukimwi hata ukipige Peku. Sema Ina mashart yake madogo kama tu Ya ARV
Kunguru wa Manzese
Wabongo kwa kutishana 😂😂😂😂Ukipanda karaga utavuna karaga. Endelea kupanda mkuu naamini utaivisha na kuvuna mavuna mazuri tu.
Huyu hajaupitia uke uzi wa rikyboy. Kula tunda kimasihara. Atashanaa kuona Maajabu yaliyoko kule.Alichoongea mtoa Uzi ndo Hali halisi nakuona waajabu sana kumlaumu, haya ndo madhara ya mtu kuwa na mahusiano mengi kabla ya ndoa ndo maana zaman mwanamke anatakiwa aolewe akiwa na bikra haya yasingetokea
Mbona unampangia jinsi ya kuishi alishakuja kukulia shida acha uchuro kwenye maisha kila mtu anavipaumbele vyakeNakushauri uache uzinzi mkuu.
Uzinzi unafilisi sana.
Kumbuka kuna;
1. Lodge 30-50k
2. Vyakula 50k
3. Vinywaji hasa wine 60k
Jumla 160k
Huu ni mshahara wa mtu kwa Muhindi
Ukifanya mara 3 kwa mwezi ni 480k
Hapa ungewekeza kabisa😂😂
Sahizi haina ukali mkuu... kulikuwa kuna content ilikuwa inaitwa effervescence. Ndo ilikuwa inaleta mauza uza..Hiyo dawa nafahamu nishawahi itumia kipindi kile ni kali unaona mauza uza na ndoto za ajabu ukinywa
Yeye amejibu kiungwana sana.Mbona unampangia jinsi ya kuishi alishakuja kukulia shida acha uchuro kwenye maisha kila mtu anavipaumbele vyake
Naona umeungana na chawa wako😅Kweli mkuu... kuna wahuni wana uboya mwingi[emoji1787]
Ndio chawe sasa huyoHaha[emoji1787][emoji1787].... ni funny tu mkuu... usichukulie serious.
Hayo ni maisha yako wewe. TusipangianeMimi nina mwaka wa sita mkuu, sijuagu kwenye simu ya wife kinaendelea nini.
Haweki password, na mda wote iko open.
Lakini sijawah ingiwa na hamu hata ya kuigusa nione nin kipo ndani.
Ni hatari sana, kugusa simu ya mwenza. Wakuu tuache kabisa.
Na wadogo zetu wa kiume walio vyuo vikuu na hawana maisha bado waishi vipi mkuu ilhali wana matamanio pia? Hela hawana na bado wanatafuta maisha, waishije ili kupunguza hamu?Uzinzi sio achievement bali ni kuelekea kwenye upotevu.....vijana acheni kutawaliwa akili zenu na msukumo wa matakwa ya nafsi.......