Nimeamini Mtalaka hatongozwi

Mmmmh!!! Labda kweli mkuu. Ila kwa me ninachojua mwanamke mlieachana kama alikufeel.... hawezi kukusahau... na kama mlikuwa na moments zilizowaleta pamoja huwezi msahau au kuacha kumfeel.

Wewe hukuwa na wa hivyo mkuu?
hisia lazima zilikuwepo ila hadi ikafikia hatua tumeachana basi hisia kwa upande wangu zitaisha na kuzaliwa kwa mwingine
 
Sasa wanatumia ndoma, wakula mate mwanzo mwisho, unakuta anapalaza palaza kwenye kinena, badae ndio wanavaa ndom.. Matumizi ya ndom wengi bado..
Mkuu ni bora ukatoa Elimu hapa ya hizo condom. Kuliko kuponda ponda... haisaidii...
Huu uzi umeonekana kwa watu 1k na zaidi.

Nadhani ushauri wako unaweza okoa maisha kuliko kuponda ponda.

Lakini pia kirusi hakidambazwi kwa jia ya Mate.

Fatilia elimu ya HIV.

Kile kirusi kiaathiri au kuingia mwilini kupitia aina ya Cell za mwili zinaitwq T-cell.

Concentration ya T-CELL mdomoni ni kwa kiasi kidogo sana.


National Anthem Tuache kuponda ponda watanzania , tunakwama sana maana hatuna elimu, hatuelewei chochote... kazi kuponda ..... why jamani.
changia mada kutoa elimu au kuendeleza Funny iliyopo mkuu.
 
🀠🀠 Usijali mzee.
 
hisia lazima zilikuwepo ila hadi ikafikia hatua tumeachana basi hisia kwa upande wangu zitaisha na kuzaliwa kwa mwingine
Sawa mkuu!! Uko vzuri. Lakini niliwahi kusikia kuna mwanamke anadate / anaolewana na anafanya mapenzi na mwanamme ambaye hajampenda. Hii imekaaje kihisia? Yeye anawezaje?

Na pia nyege zikikukamata, ni hadi ufanye na umpendae au unaweza fanya na yoyote yule mradi umemridhia?
 
Ukipanda karaga utavuna karaga. Endelea kupanda mkuu naamini utaivisha na kuvuna mavuna mazuri tu.
 
Ukipanda karaga utavuna karaga. Endelea kupanda mkuu naamini utaivisha na kuvuna mavuna mazuri tu.
Sana mkuu!! Ngoja niendelee kumwagilia. C wajua Jembe halintupi mkulima mkuu
 
Aisee[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huna hata gari.. unakaa chumba kimoja unathubutu kumpeleka demu hotel? Kibongo bongo hapa lazima uteketeze 100k.. na unakuja kujisifia hapa

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Huna hata gari.. unakaa chumba kimoja unathubutu kumpeleka demu hotel? Kibongo bongo hapa lazima uteketeze 100k.. na unakuja kujisifia hapa

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Asante mkuu, mwenye gari na nyumba binafsi.

Alafu elewa hayo si matukio ya mwaka mmoja... nimeongelea jinsi nilivyokula ma X.

Ni process ya miaka. Usikurupuke kama umefumaniwa mkuu.
 
Daaah we jamaaa umewaza mbaliiii sana
Wanavusha sana wabongo.....[emoji1787][emoji1787]. Wanasahu matukio ya kulanq si ya mwaka mmoja. Na pia kuna mtu anaweza akawa ana uwekezaji wake mkoa huu... alafu anafanya kazi mkoa x ambako hakai.

Vilaza wamekuwa wengi bongo mkuu.[emoji1787][emoji1787]. Tuombewe
 
Jf jukwaa kama hili ni la kupata good time na kucheka. Ila mada zingine zinadhihirisha jinsi dharau inavyoanzishwa ndani ya ndoa. Ndio maana hata wake kwa waume wa watu hucheat maana hata walioshuhudia hiyo ndoa wanasema hii ni sherehe tu hakuna agano hapo. Yaani ex hujakumdharau atakayekuja kukuoa au kuolewa na wewe maana ana free access pass na wewe bila shida nasi twajivunia kuwa ni mwamba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Dunia simama nishuke! twaharibu msingi tukitegemea mjengo mzuri uko mbele[emoji23][emoji23]. Tukaiga na dating kumbe lengo ni kuchezeana kwa ngono kabla ya majukumu. Hii mada imemdharaulisha mwanamke kwakumweka kuwa ni cheap product na pia imemdharaulisha mwanaume kwakuwa huyo kidume anayeoa huyo ex wako ni fala kwakuwa yeye kapewa umamlaka na heshima hewa ila wakiamua kukuharibia ndoa wanakuharibia. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] vijana tunasafari ndefu. Mama wa mtoto wako kukanyagwa kama tambala bovu kisa ni ex ni fedheha[emoji23][emoji23][emoji23] ila finally uzeeni, mwanamke na mwanaume wote hulia na kujijutia. Heshima ni kitu kikubwa acha. Let's enjoy life.
 
We Fala washa πŸ“» ha haha
 
Alichoongea mtoa Uzi ndo Hali halisi nakuona waajabu sana kumlaumu, haya ndo madhara ya mtu kuwa na mahusiano mengi kabla ya ndoa ndo maana zaman mwanamke anatakiwa aolewe akiwa na bikra haya yasingetokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…