Nimeamini Mtalaka hatongozwi

Nimeamini Mtalaka hatongozwi

Nobrain

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2020
Posts
256
Reaction score
736
Aisee, sijui enzi izo wahenga walikuwa wanawaza nini hadi wakaja na huu msemo. Amini usiamini mtalaka huwa atongozwi kabisa..

Nimekuwa na X wengi kidogo ambao matika makuzi au maisha yetu ya kibongo nimewahi kupita nao na kuachana kwa sababu tofauti tofauti.

Achilia mbali wale ambao labda tuliachana kwa Kurumbana au kukosana (maana hiyo huwa ipo) hapa naongelea wale ambao tuliachana kwa kukaliana kimya au kupoteana, au kuchokana tu.

Nimekutana na watu wa aina hiyo na wameendelea kunipa zawazi ya papuchi, bila hiyana kabisa. Ngoja niwape moja moja.

Ya kwanza:
Huyu alikuwa ni demu wangu wa Secondary, tuliachana kipindi hicho kwa kupotezana. Nimekuja kukutana naye kwenye utu uzima huu, hakuamini aliponiona, Full kujishaua na vile kawa mzuri na amependeza, na ni mfanyakazi wa taasisi ya fedha hapa bongo. Nilimuomba nimtoe dinner akaniaidi weekend tutaonana akiweka sawa mambo ya familia yake.

Weekend ilipofika nilimwambia tuonane kwemye hotel flani akataka kama kuweka pingamizi, me nilimwambia kutokana na hali zetu za kimaisha hatutakiwi kuonana sehemu za wazi hata kama ni kwa stori tu, akakubari. Alipokuja alikuta nimemuandalia kitu cha amalula, tukapiga kidogo, kisha nikamsogelea kumla mate, mrembo alirespnd positively kabisa, nikajilia viuno vya maana. Baada ya hapo kila mtu aliendelea mission zake.
Wa pili:

Ni dem wangu wa chuo. huyu nilikutana naye instagram kawa mwanamitindo. Nikamsalimia na kujitqmbulisha kuwa anaongea na Nobrain . Alifurahi sana kujua ni mimi, so nikachukua opportunity kumwalika Home, alipokuja na poz nyingi me sikuongea, nilimkumbatia tu na kumpa kitu cha ulimi akafunguka
Wa tatu:

Huyu pia alikuwa dem wangu wa kitaa.Huyu nilikutana naye katika jiji flani hapa bongo, ashakuwa single maza na kafunguliwa Duka la nguo za watoto. Alinichangamkia naye nikamwalika nimtoe out. Huko huko akanipa mzigo.
Wanne: huyu alikuwa workmate wangu, tulieanza naye kazi.

Sababu tulikuwa tunaishi kota moja, tukiamuq kuwa tunachanga mahitaji ili kupika pamoja, katika hizo harakati akaanza kunizawadia na mbususu, nilikuwa nakula hadi boss wangu aliona wivu maana alikuwa anamtaka lakini dem anachomoa. Baada ya mwaka nikapewa uhamisho, ili jamaa abaki naye. Niliamua kuhama na kampuni kwani mambo yalikuwa mengi.

kama bahati nilikutana naye daladala mitaa flani, hakuamini, nikamwambia aje kunitembelea, siku hiyo hiyo alighahiri kila kitu akaja kwangu nikala tunda... demu alikuwa anatoa kilio kitamu yule hadi mpangaji mwenzagu alinitumia text "we fala washa redio".

Daa wapo wengi sana, wengine hata siwezi simulia. Ila nimegundua demu ukishamvua nguo, hata mpoteane miaka mingi kiasi gani, mkikutana uwezekano wa kupsha kiporo ni mkubwa sana. Na wengi huwa hawapindui.

Oya, hii mitikasi imewahi kukukuta?
 
Back
Top Bottom