Nimeamini Mtalaka hatongozwi

Nimeamini Mtalaka hatongozwi

wanaweza jaza uwanja wa taifa ila sina tabia ya kurudi nilikotoka
Kuna zile zinakunogea, si dhambi ukiamua kupasha mkuu!! Unakuta kuna mtu anakutafuna hadi unahamia moyoni kwake
 
Kuna zile zinakunogea, si dhambi ukiamua kupasha mkuu!!
Unakuta kuna mtu anakutafuna hadi unahamia moyoni kwake
Ili mtu ajione mkali wao ah thubutu wewe, tukimalizana tumemalizana
 
Mmezikataa wapi mkuu..! Kuna hoja yenu hata moja imesikilizwa?
Mbona kila sehemu sahizi zipo... alafu freah tu....
Bwanaaa wee, hii nchi mwananchi hana thamani, na hata kula yake haina thamani. Kama kula ya mwanachi ingekuwa na thamani hizi picha picha zisingekuwepo
 
Bwanaaa wee, hii nchi mwananchi hana thamani, na hata kula yake haina thamani. Kama kula ya mwanachi ingekuwa na thamani hizi picha picha zisingekuwepo
Mkuu, hapa bongo ni kufanya yako tu, kula maisha, ondoa Stress... ukipata Enjoy....

Ukifatilia Siasa Utakufa mapema... sisi bado sana kwenye hii game.
Hata kenya Tu wametuzidi mbali.
 
Cha ajabu kipi kipya nitakuwa sijawahi kukiona
Inawezekana hakuna cha ajabu, lakini ukipata mtu akakukuna Vzuri... yaani akakupagawisha mkuu...
Unaweza jikuta uko radhi uwe unampa Tu hata kama mliachana.
Na hii inatokea endapo utakaye kuwa naye hamfikii yule x wako.

Wewe ukikutana na hali hii huwa unaamua kuvumilia huyo mpya au unafanayaje mkuu?
 
Zinaa inarithisha umaskini
Ilikuwepo toka enzi za mitume mkuu. Angalia wafalme wa zamani walikuwaje kwenye maandiko.

Au hata leo, angalia wazee wako, walikuwa achakati mbususu? Nje ya ndoa zao?
 
Kwa hiyo ulimwandalia AMALULA alipokunywa tu tayari ..aisee
Mkuu ile huwa inatia Nyege kwa wanawake walio wengi, akinywq na Vile huwa nintamu tamu, hapindui mkuu..
Lazima apanue mapaja tu, uchungulie utamu
 
Back
Top Bottom